Kaburi la Halaiki eneo la Kondo sasa liko Google Map, Mauaji huwa hayafichiki, Kama unajua eneo fulani, Ingia google map chap

Kaburi la Halaiki eneo la Kondo sasa liko Google Map, Mauaji huwa hayafichiki, Kama unajua eneo fulani, Ingia google map chap

Kuna wauwaji wawili nawaona kwenye huu Uzi wanapiga doria.
Nawauliza kwani wale cleaners mlio waletea hawajamaliza kazi?
 
Kwahiyo hao vijana saba walisafirishwa toka Mwanza na kuja kuzikwa Kondo Dar kwenye makaburi ya halaiki? Akili za Kinyumbu ni shida sana.
Hao inawezekana walitupwa ziwa Victoria. ICC na Truth and reconciliation commission itatusaidia kupata ukweli wote.
 
Je, sisi tuliopoteza ndugu tunachukua hatua gani za kivitendo kuwawajibisha au kuwalipiza wale waliotuulia ndugu zetu? Au tumechagua kubweka bweka mitandaoni tu basi kujifariji huku wauaji wakiendelea kuishi kwa amani na mstarehe mitaani na maifisini??????
 
Kwa hiyo kwa akili zako any disturbed soil ni makaburi ya halaiki??!! Akili za kinyumbu ni shida sana.
Si mkafukue mjue yupi mwogo na yupi mkweli. Kama disturbed soil ni makaburi au ni kwa ajili ya kuchoma mkaa au kulima mtajua. Mnabishana wakati eneo lenyewe lipo hapahapa bongo wala sio mwezini. Wenzenu wana prove vitu vya mwezini nyie mnashidwa kuprove vitu vilivyo km 2 toka mlipo. mnabishana wakati kwa kondo ni hapo tu hata kwa daladala mnafika.
 
Kwanza hizo picha ni mbili tofauti njia zilizopo kwenye ya kwanza hazipo kwenye ya pili, ujenzi uliopo karibu na picha ya pili haipo kwenye picha ya kwanza, picha ya pili inaonyesha imezungukwa sana na uoto hakuna njia nyingi zilizokatiza tofauti na ya kwanza kwahiyo tumia akili unapotaka kuleta hoja kwa watu wenye akili zaidi yako humu hampo nyumbu peke yenu.

Halafu we nani kakwambia kila ukiona disturbed soil hilo ni kaburi la halaiki? Eneo lolote Hata ukikata miti, ukaanzisha shughuli za kibinadam kama kilimo, migodi, barabara satellite itaonyesha disturbed soil, uoto ukirudi satellite ita update picha na kuonyesha limefunikwa na uoto wa asili, hiyo picha yako inaonyesha eneo zaidi ya moja ni disturbed soils kwahiyo yote ni makaburi ya halaiki?

Kwanza nani huyo chizi akaweke kaburi la halaiki katikati ya makazi ya watu kama hapo? Tz ina uhaba wa mapori kiasi hicho hadi tukio kubwa kama hilo liwekwe kwenye makazi ya watu linaloonyesha liko bize kutokana na hizo njia njia nyingi kama hapo?

Kisichopingika ni kuwa nyumbu wahalifu wengi sana wameuwawa, na bado mkirudia kufanya unyumbu wenu wa wizi na uharibifu wa mali mtauwawa tena na tena, amani ya nchi hii italindwa kwa gharama yoyote.

Hakuna huruma kwa nyumbu wahalifu.
 
Mkuu kwani watanganyika wanaishi wapi hadi uulize hao watu 2000 nimekutana nao wapi!?
Kuna viongozi wa CHADEMA akina Heche wanasema waliokufa ni 10,000 na kuna akina Larry Madowo wa CNN anasema wwliokufa ni 23,000.

Ndiyo maana naona kila mzushi anataja namba yake
 
Taja majina ya watu ambao mnadai hawajazikwa na jamii haija shiriki mazishi yao
Anza na yule mwandishi wa habari aliyetajwa kwanye mkutano wa guys guys guys...nenda pia kacheki tume ya chande kuna mama hakumpata mtoto wake, alipata kiatu chake tu....mmetumwa muwe mnaandika huu ujinga lakini haitasaidia chochote...watu wengi hawajawazika jamaa zao....
 
Kuna wauwaji wawili nawaona kwenye huu Uzi wanapiga doria.
Nawauliza kwani wale cleaners mlio waletea hawajamaliza kazi?
Wanalipwa pesa nzuri sana ukijibu unasreen shot unapewa chako. Hata Africa ya Kusini wakati wanadai uhuru Kuna blacks walikuwa wakiwauza wapambanaji (Sarafina) kwa vipande vya fedha lakini uhuru ulipatikana. Hata haya ya Samia ni muda tu ameshajaa kwenye mfumo.
 
Chadema na tec kila siku mnasema watu wameuawa bila kutuambia ni akina nani
Kwanini mmeunda tume...???? Kwanini huyo Muuaji alijikiri nguvu iliyotumis na sahihi ..??? kwa nini alisema waliouawa ni vibaka????
 
Kila sehemu iko Google map mpaka kijijini kwenu itakua kwa kondo hapa hapa Dar es Salaam ? Kama Nkasi yenyewe ipo google map yaani umeandika kama kitu kigeni
 
Kila sehemu iko Google map mpaka kijijini kwenu itakua kwa kondo hapa hapa Dar es Salaam ? Kama Nkasi yenyewe ipo google map yaani umeandika kama kitu kigeni
Maduro na yeye alikuwa hivihivi na majibu ya shombo zaidi ya haya hadi unyakuo ulivomfika.
 
Chadema na tec kila siku mnasema watu wameuawa bila kutuambia ni akina nani

ITAKUWA NI VIJANA WAO WALIOWATUMA KUFANYA ZILE FUJO WANAJUA THEY ARE MISSING
NA NDIYO MAANA WANAKOMAA KULIA LIA WAPEWE MIILI WAKAIZIKE...WANAJUA UKWELI HAW..TUWAPE MUDA TUH WATASEMA KILA KITU
 
Back
Top Bottom