Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 3,303
- 6,509
Tena kama ni kumfilimba wamfilimbe kabisa huko selo shwaini mkubwa huyo. Na madikteta wote wanyakuliwe kama maduroKwahiyo nyinyi chadema na tec mnashangilia kwa alichofanyiwa maduro mnaona ni saw ili hali dunia yote inapinga?