Kacha za kimasai za bendera ya Kenya zinavaliwa kuliko za Tanzania. Hii ni kukosa uzalendo au?

ukiona mtu anaidiss sana bendera ya tz,ujue akivaa hapendezi.

hii rangi ikikukataa inakukaa kweli kweli,ikikukubali inakukubali mazima.
mimi kila ninachovaa kikiwa na rangi ya tz lazima ninyang'anywe na watu,sio jezi skafu,au hizi kacha.
 
Safi sana mkuu kwa kuwa mzalendo
 
...."kutuliko" ni Kiswahili cha Kenya, wewe pia ni mfano mzuri wa wanaovutiwa kama sio kushobokea vitu vya KE!

Mimi binafsi napenda 'venye wanabonga' Kiswahili yao!
Mie nafahamu kuwa ni neno la Kiswahili, maana nimeskia wengi wanalitumia, kama ni kiswahili cha Kenya wewe ndiyo umefanya kuniambia hapa, Ahsante..!
 
Kwahiyo mnachukia ccm au mnaichukia bendera ya taifa?

Na je ni makosa ya ccm au bendera?
Kama kweli ni mzalendo una nia nzuri na TZ kwanini uichukie bendera instead of ccm
 
Ni ushamba wetu tu watanzania kujifanya kupenda vya wenzetu vyetu tukivichukia bila sababu ya msingi..

Ukiuliza wanaanza kuleta siasa ..
Sasa kosa la ccm ,bendera imekosa nini?
Any way nikuletee kacha ya jina lako?
 
Nitaomba niione kama inavutia halafu utaniambia na bei yake..!!
 
Hizo za kenya zinarangi nzuri mno [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Sana hata kwenye daladala chunguza,sishangai maana kuna mjinga mmoja aliendaka nairobi wiki tu akarudi anaongea kikenya....
 
Mimi napenda za kenya kuliko za tz. Hakuna kenge yeyote anaeweza nipangia nivae za tz ama za kenya. OVA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…