Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
TanzaniaUnaishi wapi mkuu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TanzaniaUnaishi wapi mkuu??
Waisrael si wakristuHao ni wakristo tu na dini yao
Sijajua mkuu, ngoja nikamuulize mmojawapoTupe maoni yako nini shida kwa hawa watu
Safi sana mkuu kwa kuwa mzalendoukiona mtu anaidiss sana bendera ya tz,ujue akivaa hapendezi.
hii rangi ikikukataa inakukaa kweli kweli,ikikukubali inakukubali mazima.
mimi kila ninachovaa kikiwa na rangi ya tz lazima ninyang'anywe na watu,sio jezi skafu,au hizi kacha.
Ile namna hutuponda na kujiona wao ni bora kutuliko, sidhani kama wanatukubali kinamna yoyote kiukweli..
Mie nafahamu kuwa ni neno la Kiswahili, maana nimeskia wengi wanalitumia, kama ni kiswahili cha Kenya wewe ndiyo umefanya kuniambia hapa, Ahsante..!...."kutuliko" ni Kiswahili cha Kenya, wewe pia ni mfano mzuri wa wanaovutiwa kama sio kushobokea vitu vya KE!
Mimi binafsi napenda 'venye wanabonga' Kiswahili yao!
Ni ushamba wetu tu watanzania kujifanya kupenda vya wenzetu vyetu tukivichukia bila sababu ya msingi..Umeniwahi laazizi walaqhi ningekutag,
Been asking myself the same question, nimepita Makumbusho muda mfupi uliopita nikashangaa kadada ka kichina kamevaa visendo vya kimasai vimenakshiwa na bendera ya Tanzania, nikajiuliza hivyo wageni wanakuwa proud na nchi yetu kuliko sisi wenyewe.?
Natamani kujua hao nchi jirani are they proud kuvaa vitu vyenye bendera yetu kama sisi tunavyojiona wajanja kuvaa vitu vyenye bendera zao..??
Nitaomba niione kama inavutia halafu utaniambia na bei yake..!!Ni ushamba wetu tu watanzania kujifanya kupenda vya wenzetu vyetu tukivichukia bila sababu ya msingi..
Ukiuliza wanaanza kuleta siasa ..
Sasa kosa la ccm ,bendera imekosa nini?
Any way nikuletee kacha ya jina lako?
Hizo za kenya zinarangi nzuri mno [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Huku mtaani vijana wengi saana na wa kike na wa kiume naona wavaa sana kacha za Kenya na UG kuliko za TZ.
Ni huku kwetu pekee au hadi mtaani kwenu, nini maana yake? Rangi za KE na UG zinapendeza kuliko za TZ?
Wamekosa uzalendo au?
Hebu tupe ushuhuda mtaani kwako wapo ikiwezekana weka na kapicha au ni umbea wangu tu wa kuchunguza yasiyonihusu
View attachment 1651615
View attachment 1651605
View attachment 1651614
Unakosa uzalendo we jamaa, hukusoma somo la uraia?Hizo za kenya zinarangi nzuri mno [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Tanzania ni kosa kisheria kutumia kitu chochote chenye bendera ya Taifa bila utaratibu.Hawa ndo ninaowasema. Wanajiona wao wakenya wakidhani wataonekana wajanja kumbe makanjanja.
Kama unaona ni uzalendo, acha kutumia bidhaa za nchi zingine.Unakosa uzalendo we jamaa, hukusoma somo la uraia?
Hata USA anatumia nchi ya nchi nyingineKama unaona ni uzalendo, acha kutumia bidhaa za nchi zingine.
Wakenya hadi vingunguti wapo,unashangaa manzeseWakenya wanaishi manzese??