Kacha za kimasai za bendera ya Kenya zinavaliwa kuliko za Tanzania. Hii ni kukosa uzalendo au?

We kweli Bufa..

Mbongo gani anafurahia kufika nairobibkuliko london.??
Mamayako au.???
 
Mtu uvaa anachokipenda.huku ni kupangiana jinsi ya kuishi.siwakubali wakenya Ila siwezi kumpangia mtu avae nini HUU NI UBAGUZI

Sijampangia mtu. I just stated the obvious.

Mbongo anavaa nembo ya KE kwa fahari wakati mkenya despises anything Tanzanian, yote ni maamuzi na mmoja kaamua kuwa mtumwa wa mwingine kwa hiari.
 
Zipigwe marufuku utrngenezaji. Na uungizaji wa culture hz apatz wengu Sanaa utakuta Kama CYO ya Jamaica bas ya kenye huku bendera zetu ckidoda
 
Sio kweli . tatizo hapo NI Kenya..Ila ingekuwa bendera ya Somali Wala msingehoji
Sijampangia mtu. I just stated the obvious.

Mbongo anavaa nembo ya KE kwa fahari wakati mkenya despises anything Tanzanian, yote ni maamuzi na mmoja kaamua kuwa mtumwa wa mwingine kwa hiari.
 
Sio kweli . tatizo hapo NI Kenya..Ila ingekuwa bendera ya Somali Wala msingehoji

Tusingeuliza labda sababu Somalia hana chuki dhini yetu.

Kwanini umshobokee mtu ambaye loathes you?

Nilitoa mfano mwingine leo hii mbongo anaona sifa kuitwa Dangote au Cookie ila hataki kabisa kuitwa Baraka au Bahati. Hayo ni majina ya Kenya pia? Sasa nenda huko uone kama kuna mtu anajinasabisha na TZ kwa namna iwayo yeyote ile.
 
Wamasai wapo pia Kenya hata Uganda
 
Ushamba tuu.wee hujui wa bongo...huwaskiag wakibrag "mim nna asili ya rwanda..or kongo or wateva...ushamba....ni sawa na ushamba wa waafrica kuabudu mtu anaeongea kingereza
 
hakuna kitu kama hicho,ni shobo tu.

halafu wengi hawaijui wanainasibisha na ile bendera ya jamaika inayowakilisha ganja culture.
Kwako wewe ya Tz imekaa vizuri ila mimi naiona ya kenya ndy ipo vizuri

Hata waubani wangu nimemnunulia ya Kenya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…