EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #121
weka namba tuanze kuchanga................Atambulishwe hapa, na tumchangie, nipo tayari kujitolea kupokea hiyo michango na kukuhakikisha anaondoka! manake nchi ipo na kazi nyingi
hhahhahah hata mvaa kacha ya nchi nyingine hajapatikana?weka namba tuanze kuchanga................
ngoja kwanza kwani tunamsafirisha nani??
hhahhahah hata mvaa kacha ya nchi nyingine hajapatikana?
ngoja apatinake kwanzahhahhahah hata mvaa kacha ya nchi nyingine hajapatikana?
Wanaofundisha uzalendo siyo wazalendo ukitaka kujua Hilo majizi/ maccm yote yalitokea huko jkt.Ukafunzwe uzalendo
Mimi kipindi kile tuna beef na Rwanda, serikali ikawa inakamata wahamiaji na kuwarudisha kwao.
Ukiwaambia kwenu USA 🤣 kukurudisha hawataki.
Bongo kumejaa lundo la watu weupe cheap labour, wasio hata na working permits kutoka India, China, Pakistan.Nimecheka sana....ila niliwahi kushuhudia uhamiaji Tanzania wakikamata mzungu wa USA kisa hakua na vibali vya kazi, ila kwa namna walikua wamenyong'onyea yaani kwa kweli ukiwa raia wa taifa lenye nguvu huwa heshima sana, walimwambia hatukukukamati ila tunaomba ushirikano tuweke sawa vibali vyako ili uendelee na kazi zako, zikalipwa hela sijui za business visa jamaa akaendelea na kazi, angekua kajamba wa kutokea taifa lingine la Kiafrika, angekoma.
Wabongo wa aina hii ndio wanawafanya nyang'au watutukane mitandaoni kila uchao.Hawa ndo ninaowasema. Wanajiona wao wakenya wakidhani wataonekana wajanja kumbe makanjanja.
Nampata wapi??
Colour yake imekaa poaView attachment 1655156