Kacha za kimasai za bendera ya Kenya zinavaliwa kuliko za Tanzania. Hii ni kukosa uzalendo au?

Kacha za kimasai za bendera ya Kenya zinavaliwa kuliko za Tanzania. Hii ni kukosa uzalendo au?

Atambulishwe hapa, na tumchangie, nipo tayari kujitolea kupokea hiyo michango na kukuhakikisha anaondoka! manake nchi ipo na kazi nyingi
weka namba tuanze kuchanga................

ngoja kwanza kwani tunamsafirisha nani??
 
Mi nakerwa na mtu mzima Mwenye akili timamu tena mbongo kujifanya anazungumza kiswahili kwa tabu anaigiza accent ya Kenya uwa inaniboa sana.
Mfano nakerwa sana na uongeaji Wa madam Rita nowadays madam Rita tunakujua we ni mbongo tena muhaya Wa karagwe uko mjini umekuja tu inakuaje uzungumze kikenya huo ni utoto bwana.
 
tunawanunuliaga pisi kaliii na ss tunafaidiii mazeee dah!😅
D9F0zU5W4AAgDQm.jpeg
 
Mimi kipindi kile tuna beef na Rwanda, serikali ikawa inakamata wahamiaji na kuwarudisha kwao.

Ukiwaambia kwenu USA 🤣 kukurudisha hawataki.

Nimecheka sana....ila niliwahi kushuhudia uhamiaji Tanzania wakikamata mzungu wa USA kisa hakua na vibali vya kazi, ila kwa namna walikua wamenyong'onyea yaani kwa kweli ukiwa raia wa taifa lenye nguvu huwa heshima sana, walimwambia hatukukukamati ila tunaomba ushirikano tuweke sawa vibali vyako ili uendelee na kazi zako, zikalipwa hela sijui za business visa jamaa akaendelea na kazi, angekua kajamba wa kutokea taifa lingine la Kiafrika, angekoma.
 
Bongo kumejaa lundo la watu weupe cheap labour, wasio hata na working permits kutoka India, China, Pakistan.

Wanaletwa na matajiri kina Mo Dewji kusimamia vibarua wa kibongo. Wana roho mbaya wanaishi kwenye magodown tu.

Uhamiaji wao wako busy na waethiopia ambao huwa wanapita tu kwenda Africa Kusini.
 
Kulingana na sheria zetu, huruhusiwi kuvaa/kumiliki kitu chochote chenye nembo or Bendera ya Taifa.🚮
🚶🚶🚶
 
Back
Top Bottom