Kacha za kimasai za bendera ya Kenya zinavaliwa kuliko za Tanzania. Hii ni kukosa uzalendo au?

Rangi za TZ zimekaa kichafuchafu, kiccm
 
Ata Rais wao uhuru akivaaga huwa inampendeza
Tena sana na sio yeye tu hiyo ni kwa yeyote yule anayezivalia. Rais UK huwa hazikosi kiganjani. Hadi muda mwingine huwa zinamkanganya na anajipata amezivalia mbili mbili πŸ˜€ Rangi tamu sana hizi, ambazo zinaleta ari ya uzalendo wa aina yake. Tena kotekote bila presha wala kushurutishwa.
 
Nilikuwa najiuliza sana sababu ya hili jambo, naliona sana huko twitani, shukrani kwa kulileta.
Kipindi Cha awamu ya nne tulihamasishwa Sana na My.Kikwete kuvaa bendera yetu mahala popotte ili kujifaharisha na kuongeza uzalendo kwantaifa letu na kweli tulipendeza na bendera yeu.Hivi awamu ya tan tulienedelea kuruhusiwa????
 
Kwanini uvae ya kenya na usivae ya nchi
Yako?
Hivi kuna mkenya anavaa hiyo kitu ya tanzania?

Ova
 
za tanzania c zilipigwa marufuku? alafu za kenya zinavutia sana [emoji1139][emoji1139][emoji1139][emoji1139]
 
Watanzania huwa mna mind vitu vya kijinga sana, huku huwa napishana na watu wamevaa t-shirts zimeandikwa Tanzania au Zanzibar na haijawahi kuniuma, mkoloni alitukosea sana miafrika kwa kuchora mipaka yake hiyo, yaani......
Naona umeamua kuja kidiplomasia zaidi jombaa. πŸ˜€ Mimi huwa sina huo muda hata wa kuwaza tu, achia mbali kuumwa. Kisa rangi au bendera ya nchi yoyote ile nyingine, sio tukiwa na kitu safi kama hiki.
 
Ni upepo tuu mbona kipindi kile sisi wakongwe tumevaa Sana vitambaa vya bendera ya marekani.
 
Mkuu Nairobi ni pazuri. Hivi utalinganisha Nairobi ni miji yetu ya kimachinga kweli? Kila mahali ni uchafu na kunanuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…