Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,271
Rangi za TZ zimekaa kichafuchafu, kiccmHuku mtaani vijana wengi saana na wa kike na wa kiume naona wavaa sana kacha za Kenya na UG kuliko za TZ.
Ni huku kwetu pekee au hadi mtaani kwenu, nini maana yake? Rangi za KE na UG zinapendeza kuliko za TZ?
Wamekosa uzalendo au?
Hebu tupe ushuhuda mtaani kwako wapo ikiwezekana weka na kapicha au ni umbea wangu tu wa kuchunguza yasiyonihusu
View attachment 1651615
View attachment 1651605
View attachment 1651614
View attachment 1652306