Kacha za kimasai za bendera ya Kenya zinavaliwa kuliko za Tanzania. Hii ni kukosa uzalendo au?

Kacha za kimasai za bendera ya Kenya zinavaliwa kuliko za Tanzania. Hii ni kukosa uzalendo au?

View attachment 1651602


View attachment 1651603
View attachment 1651605

Huku mtaani vijana wengi saana na wakike na wakiume naona wavaa sana kacha za kenya na Ug kuliko za TZ

ni huku kwetu pekee au hadi mtaani kwenu?? nini maana yake?? rangi za KE na UG zinapendeza kuliko za TZ??

Wamekosa uzalendo au?

habu tupe ushuhuda mtaani kwako wapo ikiwezekana weka na kapicha au ni umbea wangu tu wa kuchunguza yasiyonihusu
WaTz hawana vinasaba vya kujipamba au urembo. Na kwa asili ya uonevu usio na mashiko, unaweza kujikuta uko chini ya ulinzi kwa kuitumia bendera ya taifa vibaya.
 
Ila kwa rangi ya Cultures za Kenya na SA zimechangamka.... ya Tanzania imepoa sana
 
Issue hapa ni rangi tu. Rangi nyekundu kiasili inavutia zaidi watu, hivyo watu wengi wanajikuta wakivaa za kenya kwa kuvutiwa na aina za rangi tu. Binafsi nilishawahi kuwa muhanga wa kuvaa kacha yenye bendera ya kenya na kuna mkenya mmoja alikuwa anafurahi kweli kweli kila akiniona nimevaa kacha hiyo.
 
Tuache unafiki rangi zao na zile logo zilizopita kwenye bendera zao zinavutia ... Sisi mbunifu wa bendera yetu alichemka
 
Ushamba.

Wengine hata hawajui kama ni bendera ya KE. Kuna mtu niliwahi kumuuliza akasema yeye anavaa tu ila hajui ni rangi za wapi.

Kingine, watz wanaishobokea sana KE ilhali KE despise TZ. MTZ atasifia chochote kile cha KE hata kama ni kibaya vp na kuponda cha bongo wakati KE pamoja na ukabila wao hawezi sifia chochote kile cha bongo hata kama kizuri vp.

Mbongo anafurahi zaidi kufika Nairobi kuliko kufika London.
Umeniwahi laazizi walaqhi ningekutag,

Been asking myself the same question, nimepita Makumbusho muda mfupi uliopita nikashangaa kadada ka kichina kamevaa visendo vya kimasai vimenakshiwa na bendera ya Tanzania, nikajiuliza hivyo wageni wanakuwa proud na nchi yetu kuliko sisi wenyewe.?

Natamani kujua hao nchi jirani are they proud kuvaa vitu vyenye bendera yetu kama sisi tunavyojiona wajanja kuvaa vitu vyenye bendera zao..??
 
Back
Top Bottom