Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Jana alikuwa pale Dodoma. Kwa intellijensia yangu atakuwa bado yuko hapo sababu hamna gari limetoka wala ndege iliyopaaHUKU ALISHAKIMBIA TOKA ENZI ZA cov-19
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana alikuwa pale Dodoma. Kwa intellijensia yangu atakuwa bado yuko hapo sababu hamna gari limetoka wala ndege iliyopaaHUKU ALISHAKIMBIA TOKA ENZI ZA cov-19
WaTz hawana vinasaba vya kujipamba au urembo. Na kwa asili ya uonevu usio na mashiko, unaweza kujikuta uko chini ya ulinzi kwa kuitumia bendera ya taifa vibaya.View attachment 1651602
View attachment 1651603
View attachment 1651605
Huku mtaani vijana wengi saana na wakike na wakiume naona wavaa sana kacha za kenya na Ug kuliko za TZ
ni huku kwetu pekee au hadi mtaani kwenu?? nini maana yake?? rangi za KE na UG zinapendeza kuliko za TZ??
Wamekosa uzalendo au?
habu tupe ushuhuda mtaani kwako wapo ikiwezekana weka na kapicha au ni umbea wangu tu wa kuchunguza yasiyonihusu
Hapo nimekuelewa mkuuNdiyo wapo wengi tu, wewe unauliza Wakenya, huku kwetu tunaishi na Wachina, Warusi, Wakorea na hata Africa American (Wamarekani Weusi!) kibao. Itakuwa Wakenya!?
Unampimia basi muulize ww hukoJana alikuwa pale Dodoma. Kwa intellijensia yangu atakuwa bado yuko hapo sababu hamna gari limetoka wala ndege iliyopaa
Yule jamaa anavyotisha nikifika karibu yake miguu si itagongana?Unampimia basi muulize ww huko
Kwanini au hatujapata mbunifu mzuri?Ila kwa rangi ya Cultures za Kenya na SA zimechangamka.... ya Tanzania imepoa sana
Hao ni wakristo tu na dini yaoPia kuna magari mengi yamewekwa bendera ya Israel🇮🇱
Issue sio ubunifu ni rangi tu ya bendera inapendeza ikiwa kwenye mlingoti ila sio kwenye culturesKwanini au hatujapata mbunifu mzuri?
Mkuu mbona unamnanga yule naibu aliyeshindwa kuapa.Yule jamaa anavyotisha nikifika karibu yake miguu si itagongana?
Umeniwahi laazizi walaqhi ningekutag,Ushamba.
Wengine hata hawajui kama ni bendera ya KE. Kuna mtu niliwahi kumuuliza akasema yeye anavaa tu ila hajui ni rangi za wapi.
Kingine, watz wanaishobokea sana KE ilhali KE despise TZ. MTZ atasifia chochote kile cha KE hata kama ni kibaya vp na kuponda cha bongo wakati KE pamoja na ukabila wao hawezi sifia chochote kile cha bongo hata kama kizuri vp.
Mbongo anafurahi zaidi kufika Nairobi kuliko kufika London.
Sidhani kama kuna ukweli, sema kuna ulimbukeni wa Watz kujifanya wakenya au waganda, nadhani kuna ujinga mkubwa sana kwenye kichwa cha mtanzania. Sijui Nyerere alikosea wap!!!
Mkuu unadhani hukai mitaa yetu,Sidhani kama kuna ukweli,