Benzodiazepine
JF-Expert Member
- Oct 18, 2018
- 644
- 718
😀😀😀😀 WE JAMAA SAFI SANA!! We need more brains kama zako hapa nchini.Kwa kinywa chake, nazidi kumshusha thamani siku hadi siku. Bora angekua anakaa kimya.
1. Ufadhili wa wafanya biashara
Kwani ikulu kuna biashara gan ambayo itamuwezesha kulipa fadhila.kumbuka wafanya biashara hawana pesa za kuchezea hovyo !!anachotoa jua utakirudisha tu.
2. Hawaruhusiwi kuingiza fedha
Hiz ndio zile wanaficha account za nje ya nchi au ndio uadhil wa mataifa ya nje? Kama ni ufadhil, ana mpango wa kuzirudisha vp akipewa madaraka?
Kachero mbabaishaji bwana!