Uchaguzi 2020 Kachero Mbobevu Bernard Membe atua nchini, adai ukata umepelekea kusuasua kwa Kampeni za Vyama vya Upinzani nchini

Uchaguzi 2020 Kachero Mbobevu Bernard Membe atua nchini, adai ukata umepelekea kusuasua kwa Kampeni za Vyama vya Upinzani nchini

Watanzania hawahawa waliyoletewa Fisadi(Lowassa) na wakampigia kura awe rais wao? unataka wafanye nini tena ili ndio uone kuwa ni wajinga?
Sawa sawa mkuu..... We mbwa hivi huyu fisadi Lowasa kwa nini hashitakiwi?
 
Sawa sawa mkuu..... We mbwa hivi huyu fisadi Lowasa kwa nini hashitakiwi?
Sasa Dada ashtakiwe kwa lipi? kama ni hizo tuhuma za ufisadi mbona alishasafishwa na waliyomchafua. Mtu ambaye limpigia kura na unaamini alishinda uchaguzi wa kumfanya awe rais wa nchi halafu wewe unasema ni fisadi?
Ndio maana 2015 Lissu alisema kama Lowassa ni fisadi mbona hashtakiwi? maana yake Lissu alisema Lowassa si fisadi na ndio maana hajashtakiwa.
 
Bw. Membe, mategemeo yako yooote ya ndoto zako za kuwa Rais wa Tanzania yalitegemea nguvu ya CCM. Ndo maana uling'ang'ania jina lako lipitishwe na kuomba rufaa za maamuzi ta NEC. Hakuna hata mwendawazimu asiyelijua hilo, kwa sababu personally hilo wewe pia unalijua. Sasa, NEC walikutosa na huna ushawishi wala mvuto bila backing ya CCM. Out of desperation na uroho wako wa urais ukaamua utafute huo umaarufu kupitia chama vya upinzani. Sasa reality imekick in kwamba wewe siyo yule uliyedhani ndiye. Matokeo yake unatafuta sababu za kirofa. Hakuna nchi duniani inaweza kuruhusu foreign money kuinfluence uchaguzi wa ndani. Hakunaga, hata USA ya Trump. Kama unataka foreign sponsors wakusaidie kulipia gharama zako za uchaguzi wa ndani wewe ni kilaza kujiita kuwa ni kachero mbobezi. Ushauri wangu kwako ni achana na ndoto za mchana kweupe. Watanzania siyo wajinga.
 
Sasa Dada ashtakiwe kwa lipi? kama ni hizo tuhuma za ufisadi mbona alishasafishwa na waliyomchafua. Mtu ambaye limpigia kura na unaamini alishinda uchaguzi wa kumfanya awe rais wa nchi halafu wewe unasema ni fisadi?
Ndio maana 2015 Lissu alisema kama Lowassa ni fisadi mbona hashtakiwi? maana yake Lissu alisema Lowassa si fisadi na ndio maana hajashtakiwa.
What are you trying to say??
 
Upinzani hali ni tete sana, hata michango imekuwa migumu sana, sijui maeneo mengine.
Mlipo wafunga viongozi wa cdm na kuwatoza faini kkubwaa sana, watanzania masikini walijitolea kuwatoa lupango, bado huamini kuwa ccm haipendwi?
 
Mlipo wafunga viongozi wa cdm na kuwatoza faini kkubwaa sana, watanzania masikini walijitolea kuwatoa lupango, bado huamini kuwa ccm haipendwi?
Ikiwa na maana Tundu Lissu mnamtafutia shuguli nyingine Ufipa. Wewe unajua matokeo haina haja ya kuelezea kipi kinafuata kama sio Chadema kurudi ligi daraja la nne( Ligi ya mchangani ).
 
Ikiwa na maana Tundu Lissu mnamtafutia shuguli nyingine Ufipa. Wewe unajua matokeo haina haja ya kuelezea kipi kinafuata kama sio Chadema kurudi ligi daraja la nne( Ligi ya mchangani ).
Kwa mara ya kwanza ccm inawafia mkononi dadeeekiii, lissu ni nooma yeye ni sawa na gari kubwa, ni meli kubwaaa
 
CHADEMA wanakaa kulia lia tu na hawako tayari kuhoji wizi ndani ya chama. Walisema wamezuiwa kuendesha shughuli za kisiasa, sawa! Sasa pesa za ruzuku zimetumika kulipia nini kwa miaka 5? Ni chama cha kishenzi tu! Hiki chama lazima kife kwa kukosa manufaa kwa wa-TZ.

Tulitaka chama kinacholeta amsha amsha kwa CCM washike adabu lakini kama ni wizi na upuuzi wa kiwango hicho, ndo maana maprofesa wote waliodhani wangewasaidia, walijiondoa kimya kimya! Sasa wamebaki ni kundi la form 6.
Unawatukana form six...angalia wanavyowakimbiza mbio..

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Kwa mara ya kwanza ccm inawafia mkononi dadeeekiii, lissu ni nooma yeye ni sawa na gari kubwa, ni meli kubwaaa

Ahhh yaani unajilazimisha ujinga wa kujiaminisha ushindi ambao haupo, na sisi kwetu hapa Machame Mbowe biashara yake imeisha kuwa ngumu sana.
CCM huku Kilimanjaro wanakaba mpaka penalty, yawezekana kurudi diwani wawili watatu, lakini Ubunge wanasafisha. Mkuu mikutano yake ya Uswaa na Masama, tunasubiri taarifa kutoka Weruweru kama nako kafukuzwa na kuzomewa, kanda hii ndivyo walivyo wakikuchoka.
 
Kama wewe unavyo jilazimisha upopo wa kuamini kuwa ccm itashinda hata kama haipendwi.
 
Kama wewe unavyo jilazimisha upopo wa kuamini kuwa ccm itashinda hata kama haipendwi.

Hii tread naihifadhi, usinikimbie tarehe 29/October.2020.

Mbona sisi huku tunakubali hali halisi ya kuwa CCM mwaka huu wao, sisi tutafute hela tuu.

Tunasema Wachaga tumeuwawa na tuliomwita mshamba.
 
Back
Top Bottom