Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Wagombea wa chadema jua hadi mfukoni! Mpaka muda huu hasa wabunge hawajui watafanyaje kampeniUtakuwa unaumwa kiungulia cha ubongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wagombea wa chadema jua hadi mfukoni! Mpaka muda huu hasa wabunge hawajui watafanyaje kampeniUtakuwa unaumwa kiungulia cha ubongo
Jiandae kisaikolojia maana Lissu ndiye rais wakoWagombea wa chadema jua hadi mfukoni! Mpaka muda huu hasa wabunge hawajui watafanyaje kampeni
Atakuwa rais wa nyie nyumbu!Jiandae kisaikolojia maana Lissu ndiye rais wako View attachment 1571163
Umeamua kwa makusudi kuuchafua uzi wa watu mada haihusu hizi takataka ulizoandikaJiandae kisaikolojia maana Lissu ndiye rais wako View attachment 1571163
Jaribu kujikita kwenye mada husika!Wacha kuweweseka dogo, tulia sindano ikuingie vyema maungoni mwako ili upone kichaaView attachment 1571156
Ukiambiwa ni mwendawazimu unaona sifa!Utakuwa unaumwa kiungulia cha ubongo
Rudia kusoma uone hili chujio lilotoboka likamwaga pumba!Hakuomba fedha za walipa kodi bali alitumia fedha zinazo tokana na jasho lake,
Unampangiaje mtu jinsi ya kutumia mapato ya jasho lake?
Jaribu kuwa na uelewa basi! Unapoleta picha isiyohusika unaongeza mzigo kwa wana JF. Kama una internet ya bure wengine wanalipia. What is this for? Huna dada aliye na maisha magumu kuliko huyu?Wacha kuweweseka dogo, tulia sindano ikuingie vyema maungoni mwako ili upone kichaaView attachment 1571156
Picha ya nini? Unanikumbusha kamati ya mazishi, bhana!Hapo wewe kwa sasa hauna option zaidi ya kukubali kuongozwa na serikali ya cdm chini ya rais mtarajiwa mh Lissu View attachment 1571155
Nasikia hadi leo uh nalaumiwa sanaPicha ya nini? Unanikumbusha kamati ya mazishi!
Maisha magumu mnayo nyinyi uvccm mnao tumika kama kandambiliJaribu kuwa na uelewa basi! Unapoleta picha isiyohusika unaongeza mzigo kwa wana JF. Kama una internet ya bure wengine wanalipia. What is this for? Huna dada aliye na maisha magumu kuliko huyu?
Hutaki kanywe sumuDuu akichaguliwa ndio ataenda kuishi marekani na ibiza kabisa, wasaidiz wake ndo watakuwa wana run nchi.
Tatizo lako hujaona kama akili zako zina sehemu zinavujaRudia kusoma uone hili chujio lilotoboka likamwaga pumba!
Sifa siku zote mnazipenda nyinyi kina kwangu pakavu tia mchuzi wa lumumbaUkiambiwa ni mwendawazimu unaona sifa!
Lissu ndiye rais wako wa awamu ya 6Jaribu kujikita kwenye mada husika!
Nadhani kuna sehemu nimekuuliza kiwango chako cha elimu. It seems you never had a chance to eradicate illiteracy! Any certificate of your pride?Maisha magumu mnayo nyinyi uvccm mnao tumika kama kandambili
Vumilia dogo dawa ikuingie vizuri maungoni ili upone kichaa chakoUmeamua kwa makusudi kuuchafua uzi wa watu mada haihusu hizi takataka ulizoandika
Huna lolote wewe mataga wa lumumba waliokutuma waambie ushachelewa umekuta hawapo unako pita sie tulitoka zamaniKwa kweli maana hata sisi Chadema tupo hoi.
Naona sindano imekuingia vyema maungoni mwako ili upone kichaa chakoNadhani kuna sehemu nimekuuliza kiwango chako cha elimu. It seems you never had a chance to eradicate illiteracy! Any certificate of your pride?
Nyumbu ni ukoo wako wote huko kwenu BurundiAtakuwa rais wa nyie nyumbu!
Ila rais wangu na watz ni John Pombe Magufuli