Uchaguzi 2020 Kachero Mbobevu Bernard Membe atua nchini, adai ukata umepelekea kusuasua kwa Kampeni za Vyama vya Upinzani nchini

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ WE JAMAA SAFI SANA!! We need more brains kama zako hapa nchini.
 
Nachosema Lowassa alishasafishwa ufisadi wake na chadema.
Ok sawa mkuu.... Lkn alikua ccm akaenda chadema akarudi ccm kwa hiyo amefanya ufisadi akiwa chadema au ccm......??

Swali lipo palepale..... Kwa nini serikali haimshitaki?
 
Ok sawa mkuu.... Lkn alikua ccm akaenda chadema akarudi ccm kwa hiyo amefanya ufisadi akiwa chadema au ccm......??

Swali lipo palepale..... Kwa nini serikali haimshitaki?
Maana yake hakuwa fisadi toka mwanzo na ndio maana hashtakiwi hata Lissu alisema kama Lowassa ni fisadi mbona hashtakiwi? kwahiyo Lowassa si fisadi na ndio maana chadema wakampa nafasi ya kugombea urais,angekuwa kweli fisadi wasingempa hiyo nafasi.

Nafikiri tumeelewana.
 
Imagine mijitu kama hii inakuja kuwa raisi dah Tanzania nakupenda maana you are survivor
 
Imagine mijitu kama hii inakuja kuwa raisi dah Tanzania nakupenda maana you are survivor
Sure mkuu.ipende nchi yako maana wengine hatuna pa kukimbilia nje ya bongo hii.
 
Naona upo pale pale.... Alipokua cdm ccm wenye dola wwenye serikali walisema ni fisadi....... Swali lipo paleplale kwanini hawamshitaki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…