Kada CCM: Hatuwezi kukubali Makamu wa Rais Kukashifiwa na Kuvunjiwa Heshima. Simai futa kauli zako

Mkuu mimi nimeshangaa hadi Lema anaingia mtego huu kumuongelea Nchimbi kuwa anashambuliwa.

Nchimbi ana usafi gani kujitoa na ya October 29?

Katika utengenezaji , usambazaji , kudhibiti ubora wa dawa kuna kitu kinaitwa "product recall"

Ukisikia dawa fulani inaondolewa sokoni sababu haifai kwa matumizi hawaondoi dawa zote bali "batch" husika.

Maana yake batch ya dawa fulani imetumia master formula kutengeneza dawa zote za batch ile kuanzia API, excipients, personnel ,SOP etc.

Hivyo Nchimbi anaangukia katika batch hii ya wauaji hivyo hana usafi ndio maana mimi simtambui Samuya kama rais sababu kaijipa kwa mchakato haramu kadhalika na Nchimbi simtambui kama makamu wa rais sababu kumtambua mmoja utahalalisha wengine njia pekee ya Nchimbi ilikua ni kugomea kuapa kuwa makamu wa rais kwa kupitia damu za watu

Mimi mtego huu siuingii.
Sio hivyo, kuna sayansi ya siasa haitegemei equations, tunajua tunafanya nini.
 
kama hamuoni hii ni fight of good vs evil, democracy vs islamists tayari mmeshapoteza pambano, islamists wako vitani against you, na wala siyo chadema au yoyote yule bali ni against "mfumo Kristo" na yoyote ambaye halioni hilo ameshashindwa tayari.

islamists wataungana na yoyote yule hata chadema walishawahi kuungana (indirectly) na islamist (rejea Mbowe kufungwa na islamists halafu kuachiwa kwa kupewa dili kushirikiana nao) bila ya hata ya kujua wao (chadema) walifikiri wanapambania demokrasia, msipojua kunachoendelea mtaishia kugawanywa na islamists na kuungana nao (tena) just to end up where you started.

its a fight of good vs evil, sasa ni lzm muitambue evil kwanza, then you can win ...
 
Kama heading inavyojieleza makada waanza kujitokeza kumjibu simai aliyoyaongea kuhusu YUDA ndani panawaka moto yetu macho wachatuone mwisho wao.

=====

"Waziri wa utalii kule Zanzibar na hoja zake za kutatanisha kwamba kwanini alijiuzulu uwaziri kule anakuja kumkashifu na kumvunjia heshima Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

"Sisi kama makada wa Chama Cha Mapinduzi hatuwezi kukubali. Sisi kama vijana tunaotetea heshima za viongozi wetu hatuwezi kukubali mtu wa namna hii. Yeye kama yuko kwenye magenge ya urais, akae huko.

"Dkt. Samia na serikali yake wana miaka mitatu mpaka kufikia 2030, miaka minne penginepo, mpaka kufikia 2030. Analeta ugenge genge wa Urais kwa kuchafulia hadhi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Pia soma Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani

"Hata kama kuwe kuna kitu gani ndani ya chama chetu, kuwe kuna matatizo gani ndani ya chama chetu, chama chetu kina instruments za kutosha za kutatua matatizo ya viongozi. Rais wa nchi yetu ana kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi, ana baraza la wazee viongozi wastaafu, wapo. Kama kuna lolote lipo, rais hana tabia ya kuangaika eti amtafute mtu kama yule Simae aende akabuatuke pale bungeni.

"Nawaambia sasa watanzania mufahamu, kuna watu wanajibebisha ndani ya chama chetu na kujifanya eti wanamtetea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini kiuhalisia nawaambie ndugu zangu, hawana dhamira hiyo. Ni kujipendekeza wakidhani huenda watapewa uwaziri.

"Tunakuomba Simae, ufute kauli zako zote ulizozisema na tunakuambia ulimlenga Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama hukumulenga Makamu wa Rais, tunakuomba kesho uape, uchukue msahafu wewe muislamu useme, 'Mimi niliongea sikumlenga Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.' Tuone kama utaweza. Tuone kama utaweza. Usituletee masihara.

"Sisi ni wafia chama hiki, hatuwezi kukubali mtu mmoja na kundi lake penginepo wanapika migogoro ndani ya chama chetu kionekane chama chetu kimegawanyika mwanemwane. Leo mnampa maneno mpaka Godbless Lema anasema eti, 'Kifaranga kikipandishwa juu ujue mama yake yuko pembeni.' Mama ni nani? Anamaanisha Rais wa nchi yetu anaweza akamtuma Simae? Anaweza akamtuma Simae? Rais wa nchi yetu ana shida gani? Amiri Jeshi Mkuu, wa majeshi ya ulinzi na usalama. Mwanamama aliyevunja rekodi; Makamu wa Rais wa kwanza ni yeye, Rais wa kwanza ni yeye, Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ni yeye. Ana shida gani mpaka amtume huyo jamaa anaitwa Simae?

"Watanzania muwe makini. Sio kila mnaemuona eti anajinasibu na Chama Cha Mapinduzi kwamba eti ni mtu mwenye akili. Tuwe makini, kidumu Chama Cha Mapinduzi." - Cde Kazungu Bakari Kazungu

"

Kwakuwa nyie wote ni ccm,hata kama mtanyoana masikio huenda huo ndiyo msaada ambao Mungu ameamua kuuleta katika taifa hili na hatimae tuizike ccm na hata chawa wake.
 
Kwanini tusivunje tu muungano tukaziacha hizi takataka zikaendelea kuimba taarabu uko kwao manake zinatuvuruga
 
Kama heading inavyojieleza makada waanza kujitokeza kumjibu simai aliyoyaongea kuhusu YUDA ndani panawaka moto yetu macho wachatuone mwisho wao.

=====

"Waziri wa utalii kule Zanzibar na hoja zake za kutatanisha kwamba kwanini alijiuzulu uwaziri kule anakuja kumkashifu na kumvunjia heshima Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

"Sisi kama makada wa Chama Cha Mapinduzi hatuwezi kukubali. Sisi kama vijana tunaotetea heshima za viongozi wetu hatuwezi kukubali mtu wa namna hii. Yeye kama yuko kwenye magenge ya urais, akae huko.

"Dkt. Samia na serikali yake wana miaka mitatu mpaka kufikia 2030, miaka minne penginepo, mpaka kufikia 2030. Analeta ugenge genge wa Urais kwa kuchafulia hadhi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Pia soma Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani

"Hata kama kuwe kuna kitu gani ndani ya chama chetu, kuwe kuna matatizo gani ndani ya chama chetu, chama chetu kina instruments za kutosha za kutatua matatizo ya viongozi. Rais wa nchi yetu ana kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi, ana baraza la wazee viongozi wastaafu, wapo. Kama kuna lolote lipo, rais hana tabia ya kuangaika eti amtafute mtu kama yule Simae aende akabuatuke pale bungeni.

"Nawaambia sasa watanzania mufahamu, kuna watu wanajibebisha ndani ya chama chetu na kujifanya eti wanamtetea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini kiuhalisia nawaambie ndugu zangu, hawana dhamira hiyo. Ni kujipendekeza wakidhani huenda watapewa uwaziri.

"Tunakuomba Simae, ufute kauli zako zote ulizozisema na tunakuambia ulimlenga Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama hukumulenga Makamu wa Rais, tunakuomba kesho uape, uchukue msahafu wewe muislamu useme, 'Mimi niliongea sikumlenga Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.' Tuone kama utaweza. Tuone kama utaweza. Usituletee masihara.

"Sisi ni wafia chama hiki, hatuwezi kukubali mtu mmoja na kundi lake penginepo wanapika migogoro ndani ya chama chetu kionekane chama chetu kimegawanyika mwanemwane. Leo mnampa maneno mpaka Godbless Lema anasema eti, 'Kifaranga kikipandishwa juu ujue mama yake yuko pembeni.' Mama ni nani? Anamaanisha Rais wa nchi yetu anaweza akamtuma Simae? Anaweza akamtuma Simae? Rais wa nchi yetu ana shida gani? Amiri Jeshi Mkuu, wa majeshi ya ulinzi na usalama. Mwanamama aliyevunja rekodi; Makamu wa Rais wa kwanza ni yeye, Rais wa kwanza ni yeye, Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ni yeye. Ana shida gani mpaka amtume huyo jamaa anaitwa Simae?

"Watanzania muwe makini. Sio kila mnaemuona eti anajinasibu na Chama Cha Mapinduzi kwamba eti ni mtu mwenye akili. Tuwe makini, kidumu Chama Cha Mapinduzi." - Cde Kazungu Bakari Kazungu

"
Nyie makada nyie... Ngojeni waje wazee wa buku saba humu akina tiatiaaah na genge lake watawatukana san hapa!! Pamoja na kiherehere Lucas mwashamba
 
Mkuu mimi nimeshangaa hadi Lema anaingia mtego huu kumuongelea Nchimbi kuwa anashambuliwa.

Nchimbi ana usafi gani kujitoa na ya October 29?

Katika utengenezaji , usambazaji , kudhibiti ubora wa dawa kuna kitu kinaitwa "product recall"

Ukisikia dawa fulani inaondolewa sokoni sababu haifai kwa matumizi hawaondoi dawa zote bali "batch" husika.

Maana yake batch ya dawa fulani imetumia master formula kutengeneza dawa zote za batch ile kuanzia API, excipients, personnel ,SOP etc.

Hivyo Nchimbi anaangukia katika batch hii ya wauaji hivyo hana usafi ndio maana mimi simtambui Samuya kama rais sababu kaijipa kwa mchakato haramu kadhalika na Nchimbi simtambui kama makamu wa rais sababu kumtambua mmoja utahalalisha wengine njia pekee ya Nchimbi ilikua ni kugomea kuapa kuwa makamu wa rais kwa kupitia damu za watu

Mimi mtego huu siuingii.
Kumbe wengine hamjajua wanaoshabikia wana lengo gani? Watu wanataka moto uzidi kuwaka na siyo kumtetea Nchimbi.
 
Back
Top Bottom