Pre GE2025 Kada kasema ukweli kwamba ushindi wa CCM sio wa mungu kupenda, wapinzani wamehamaki!

Pre GE2025 Kada kasema ukweli kwamba ushindi wa CCM sio wa mungu kupenda, wapinzani wamehamaki!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Nimeona Wapinzani wamehamaki kwa kauli ya huyu kada aliyesema ushindi wa chama chake hautegemei mungu kupenda!

Huu ni ukweli mtupu, wapinzani lazima wajue madaraka hayapatikani kwa miujiza au kudra. Huwa nawacheka sana wapinzani wanapomsubiria mungu kwa kauli mbalimbali za kujifafariji ooh "mungu atafanya...."

Pia soma:Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
 
CCM wanajua kucheza na akili za wa Tz ,,Kwa hyo mama kumtumbua huyo DC aliyesema uwalisia ndio kutamaliza kero za wananchiii ...

Ety mama acha kushika Tama nakuulizaaa nijibu
FB_IMG_1724330690583.jpg
 
Aisee kuna haja ya kukiwajibisha hiki chama cha kijani. Kura ni lazima zilindwe hakuna chombo chochote kuzuia watu kulinda kura zao. Vyama vya upinzani wasisitize hili jambo mapema. Wakala wa nyama cha upinzani lazima awe ndani ya kituo cha kupigia kura hiyo ni lazima hakuna kucheka na kiumbe chochote awamu hii.
 
Machadema yanahamaki,wakati alicho zungumza mkuu wa wilaya ni uhalisia wenyewe. Badala ya kufurahi yanaanza kumchukia DC..hivi wapinzani wa Tanzania wana akili timamu kweli?? Yale yale ya Nape yanajirudia
 
Chadema hatujachukia kwa ufunuo huu bali tumefurahi kuwa siri za kambi zinaanza kuvuja, waliochukia ni CCM na serikali kwani wameumbuliwa ndiyo maana wamemfuta kazi huyo DC.
 
Nimeona Wapinzani wamehamaki kwa kauli ya huyu kada aliyesema ushindi wa chama chake hautegemei mungu kupenda!

Huu ni ukweli mtupu, wapinzani lazima wajue madaraka hayapatikani kwa miujiza au kudra. Huwa nawacheka sana wapinzani wanapomsubiria mungu kwa kauli mbalimbali za kujifafariji ooh "mungu atafanya...."

Pia soma:Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
😆😆😆😆
Huu ni Ukweli mchungu sana.

CCM KUENDELEA KUBAKI MADARAKANI AU KUSHINDA KWENYE UCHAGUZI HAITEGEMEI KUPIGIWA KURA NA MTU YOYOTE YULE KATIKA UCHAGUZI WA SIASA HAPA NCHINI TANZANIA.

Aidha, katika Uchunguzi uliofanyika kwa kificho ulibaini kwamba wale Watu waliohusika kwenye Usimamizi wa Uchaguzi wa Siasa hapa Tanzania Mwaka 2020 walikuwa ni aidha Mawakala wa Siri wa TISS au Maaskari Polisi. Siku chache kabla ya Uchaguzi huo Watu hao Walikusanywa kwenye Makambi kwa ajili ya kupewa Mafunzo Maalumu ya Kuhujumu Uchaguzi huo ili kuipa Ushindi CCM.
Ma-DSO wote waliokuwepo walikabidhiwa jukumu maalumu la kuratibu na Kusimamia Mpango huo.

Kwa wale Watu wengine waliohudhuria mapema kwenye Vituo vya Kupiga Kura siku ya Uchaguzi Mwaka huo wa 2020 nafikiri mtakuwa mashuhuda wazuri kwamba mliwakuta Vijana waliobeba mabegi kwenye vituo vya kupigia Kura, hao ndio Watu wenyewe waliotekeleza Mpango huo.
 
Mungu wangu naomba msamaha kwa kuwa,kumiliki na kuilipia KADI ya chama changu CCM!

Kwa makufuru haya naomba utusamehe!
 
Chadema hatujachukia kwa ufunuo huu bali tumefurahi kuwa siri za kambi zinaanza kuvuja, waliochukia ni CCM na serikali kwani wameumbuliwa ndiyo maana wamemfuta kazi huyo DC.
Una frustrations za siri zenu kuanikwa hadharani.
 
Ccm hajawahi kushinda na hawezi kushinda kihuhalali

Ova
 
Kwa kauli hizi CCM wasijione wamejipa haki miliki ya hii nchi
 
Mungu wangu naomba msamaha kwa kuwa,kumiliki na kuilipia KADI ya chama changu CCM!

Kwa makufuru haya naomba utusamehe!
Hakuna kufuru hapo, kada kasema ukweli na hili ni somo kwa wapinzani àmbao husubiria miujiza au mungu kupenda katika mambo yao.
 
Kwa kauli hizi wananchi wasiilaumu Chadema kwa kushindwa kila uchaguzi siyo kosa lao Dola imependa iwe hivyo wanadhibitiwa mno wafanye nini sasa?
 
Back
Top Bottom