Pre GE2025 Kada kasema ukweli kwamba ushindi wa CCM sio wa mungu kupenda, wapinzani wamehamaki!

Pre GE2025 Kada kasema ukweli kwamba ushindi wa CCM sio wa mungu kupenda, wapinzani wamehamaki!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimeona Wapinzani wamehamaki kwa kauli ya huyu kada aliyesema ushindi wa chama chake hautegemei mungu kupenda!

Huu ni ukweli mtupu, wapinzani lazima wajue madaraka hayapatikani kwa miujiza au kudra. Huwa nawacheka sana wapinzani wanapomsubiria mungu kwa kauli mbalimbali za kujifafariji ooh "mungu atafanya...."

Pia soma:Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Kalamu huyu nae umemuona na huko x nimeona pia xlip ya mchengerwa
 
Hakuna kufuru hapo, kada kasema ukweli na hili ni somo kwa wapinzani àmbao husubiria miujiza au mungu kupenda katika mambo yao.
Kwa miaka mingi sana na chaguzi nyingi sana!sijawahi ona mwanaccm akiongea hovyo kama vile!

Yes hajui hata huo uovu una baraka ya Mungu uwepo Ili ccm ishinde!!?

Hakuna utawala ambao Mungu hahusiki kuuweka hats farao na Nebuchadnezzar waliwekwa na yeye ili yeye ajitukuze!
 
Back
Top Bottom