Sisiem ndio shetani mwenyewe.Dunia ni pahala pa Shetani ๐ผ
Chadema hatujachukia kwa ufunuo huu bali tumefurahi kuwa siri za kambi zinaanza kuvuja, waliochukia ni CCM na serikali kwani wameumbuliwa ndiyo maana wamemfuta kazi huyo DC.Machadema yanahamaki,wakati alicho zungumza mkuu wa wilaya ni uhalisia wenyewe. Badala ya kufurahi yanaanza kumchukia DC..hivi wapinzani wa Tanzania wana akili timamu kweli?? Yale yale ya Nape yanajirudia
Nimeona Wapinzani wamehamaki kwa kauli ya huyu kada aliyesema ushindi wa chama chake hautegemei mungu kupenda!
Huu ni ukweli mtupu, wapinzani lazima wajue madaraka hayapatikani kwa miujiza au kudra. Huwa nawacheka sana wapinzani wanapomsubiria mungu kwa kauli mbalimbali za kujifafariji ooh "mungu atafanya...."
Pia soma:Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Huu ni Ukweli mchungu sana.๐๐๐๐
Una frustrations za siri zenu kuanikwa hadharani.Chadema hatujachukia kwa ufunuo huu bali tumefurahi kuwa siri za kambi zinaanza kuvuja, waliochukia ni CCM na serikali kwani wameumbuliwa ndiyo maana wamemfuta kazi huyo DC.
Hakuna kufuru hapo, kada kasema ukweli na hili ni somo kwa wapinzani ร mbao husubiria miujiza au mungu kupenda katika mambo yao.Mungu wangu naomba msamaha kwa kuwa,kumiliki na kuilipia KADI ya chama changu CCM!
Kwa makufuru haya naomba utusamehe!