sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,171
- 4,295
Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini.
Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul.
Ashangaa kwa nini kila siku watu wakitaka kusema uovu unaoendelea Chadema wanaambiwa wakae kimya watakigawa chama!!
Amewapiga mkwara aliowaita machawa wa Mbowe kuwa wasijaribu kuendelea kumchokoza ataanika kila kitu kuhusu Mbowe.