Kada maarufu wa CHADEMA amuita Mbowe kibaka mbele ya kadamnasi

Kada maarufu wa CHADEMA amuita Mbowe kibaka mbele ya kadamnasi

Hv kwanini Mbowe kila wakati?😁😁😁 Yani hata wakienda kuoga mbowe, kujisaidia mbowe, jamani 🚮🚮 Watasubiri sana mbwe yupo tu.
Kuna waliompenda mbowe mara 1000 zaidi yako niamini mimi ila ikafika wakati wakasema hapana hapa kuna soda he is using us kupata anachotafuta
 
Mbowe anakula rushwa toka kwa mama Abdul.
Wapi Takukuru? Kamata wote hawa mtoaji mpokeaji na huyu hapa mwenye taarifa za rushwa anaandika hapa badala ya kuleta taarifa kwenu zifanyiwe kazi! Anaficha vitendo vya rushwa kwanini ana maslahi gani kwavyo?! Sukuma ndani huyu sonology.
 
Wapi Takukuru? Kamata wote hawa mtoaji mpokeaji na huyu hapa mwenye taarifa za rushwa anaandika hapa badala ya kuleta taarifa kwenu zifanyiwe kazi! Anaficha vitendo vya rushwa kwanini ana maslahi gani kwavyo?! Sukuma ndani huyu sonology.
Mkuu mbona rushwa zingine zinaandikwa hapa au unafikir mbowe ni untouchable kwa kila mtu mpaka uzuie watu kusema hadharani uovu wake wa kutafuna rushwa toka kwa Abdul!!???
 
View attachment 3013685

Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini.

Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul.

Ashangaa kwa nini kila siku watu wakitaka kusema uovu unaoendelea Chadema wanaambiwa wakae kimya watakigawa chama!!

Amewapiga mkwara aliowaita machawa wa Mbowe kuwa wasijaribu kuendelea kumchokoza ataanika kila kitu kuhusu Mbowe.

Abuid siyo KADA wa Chadema .... sema ana misimamo yake.
 
Abihudi anasema ukweli !! Abihudi ni Neuro scientist noma sana
 
..unamtuhumu Samia kwamba anahonga wapinzani, particularly Mbowe.

..kupokea rushwa ni jinai. Kutoa rushwa pia ni jinai.
20240410_063851.jpg
 
Angeweka na ushahidi wake hapa tuuone, nachojua kwasasa serikali ya mama Abdul iko kwenye wakati mgumu hasa kule X ndio maana wameanza mipango ya kutaka kuifunga Tanzania.

Huyo kichaa likely atakuwa amepewa na hao kina Abdul kuyumbisha upepo wa Lissu kule Singida, na Mange from US, hizo ni mbinu zao outdated.
 
Back
Top Bottom