Kwani hiyo inatofauti Gani na makonda kuondolewa ukatibu uenezi wa ccm?Heche kaenguliwa na mbowe ni CCM?
Au cdm ni special political party
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hiyo inatofauti Gani na makonda kuondolewa ukatibu uenezi wa ccm?Heche kaenguliwa na mbowe ni CCM?
Watu wengi hawamjui Mbowe sana.Nakwambia hiv, kiukwel wenye akil tuliokua tunamuheshimu Mbowe kwa kuijemga chadema na kuibua vipaji vya vijana, sasa hiv heshima inashuka kila siku. Kwakifupi tumeshamshtukia, sema ndio vile tena mkono uliokulea, shart usiukate ila tutausafisha kwa nguvu atake asitake.. mbowe kageuka agent typically
Sasa ndiyo umsingizie Rais kutoa rushwa?Kwenye chama ndio mnafanyia hivi wote wanaomkosoa mbowe utaskia anakigawa chama
Watu wengi hawamjui Mbowe sana.
Enzi hizo walikuwepo ma Elite na Mbowe alikuwa mmoja wa Ma Elite hao. Unajua tena, mtoto wa Tajiri.
Mambo yalibadilika ghafla wakati Mzee Mwendazake Mwinyi kuingia, na baadae wakati Kikwete kuingia. Yaani madili dili yakawa yanapotea. Afueni ikawa enzi za Ben lakini, unajua tena, kutesa kwa zamu
Nitaachia hapo, ila kwa kifupi, Mbowe anapenda power na ni neno lake maarufu kinywani mwake, pamoja na kuwa na Hela, mtoto wa Tajiri na heshima nyingine zinazokuja nazo, Mbowe hakuwa na 'POWER'...... ameipata CHADEMA. Haitoshi.
Waulizeni maborntown.
"Baba Dudley ni mwizi kibaka " Abiud
Hawa ni chadema au ccm?
Hao ni CCM. Wanashindwa kushughulika na ma RC wanaowalawiti mnapambana na Mbowe ambaye hawahusu na wanaohusiana naye wanamkubali.Hawa ni chadema au ccm?
Kimeumana
Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini.
Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul.
Ashangaa kwa nini kila siku watu wakitaka kusema uovu unaoendelea Chadema wanaambiwa wakae kimya watakigawa chama!!
Amewapiga mkwara aliowaita machawa wa Mbowe kuwa wasijaribu kuendelea kumchokoza ataanika kila kitu kuhusu Mbowe.
Mbona ccm bado inatumia ujinga wenu nyie wapare?Ila mm namkubali mbowe mana anajua kupiga pesa kwa kutumia ujinga wa watu wa chama chake
Ethina mburi avae.Duh wachaga wenye chama chenu hamfichi hisia zenu
Aliekwambi pallangyo ni chadema nani alafu umfaham vizuri huyu anaijuaga mwenyewe
Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini.
Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul.
Ashangaa kwa nini kila siku watu wakitaka kusema uovu unaoendelea Chadema wanaambiwa wakae kimya watakigawa chama!!
Amewapiga mkwara aliowaita machawa wa Mbowe kuwa wasijaribu kuendelea kumchokoza ataanika kila kitu kuhusu Mbowe.
Nitawashangaa Mods wasipofuta nyuzi hii

Lissu anawachalaza mboko vibaya mno. Na jamaa kaamuaJibuni Hoja za Lissu huko Singida msijifiche kwenye UJINGA na UCHAWA changanya na njaaa
Hatari sana.......naona unakosa usingizi.. 😛Mbowe ni fisadi
Wewe ndio bwegeMlevi mmoja anapewa promo kibwege… dışa za Tanzania zimekua very shallow na hazina tija