Kada maarufu wa CHADEMA amuita Mbowe kibaka mbele ya kadamnasi

Mbona pesa zake mnachukua.

Tunachukua na akina nani ..... kwani umeambiwa kuwa mimi ni CDM. Acha kukurupuka.

Diaspora wengi especially Sauti ya Watanzania wanachanga kusaidia different activities. Abuid naye anafanya the same thing kama wengine wengi tu ....!!
 
..mtoa rushwa, na mla rushwa, wote watolewe.

..hivi unaamini Mbowe akitimuliwa, Mama Abduli atakoma kuhongahonga?
Lazima kila mwizi na mla rushwa ashughulikiwe bila kujali nyama vyao
 
Mbowe ni mla rushwa wanaosema hivyo sio CCM ni Chadema wenzie waliomuamini 100% so una hiyari ya kuukubali ukweli au kuishi kwenye denial.
Hao wanaosema hivyo tayari wana kibunda kwenye nguo za ndani za kuwapumbaza akili.
 
View attachment 3013685

Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini.

Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul.

Ashangaa kwa nini kila siku watu wakitaka kusema uovu unaoendelea Chadema wanaambiwa wakae kimya watakigawa chama!!

Amewapiga mkwara aliowaita machawa wa Mbowe kuwa wasijaribu kuendelea kumchokoza ataanika kila kitu kuhusu Mbowe.
atakuwa kamezeshwa smart gin
 
Sawa tumesikia

Lakini ccm wameuza kisiwa Cha mafia
Hilo unalisemeaje kijana?
 
View attachment 3013685

Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini.

Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul.

Ashangaa kwa nini kila siku watu wakitaka kusema uovu unaoendelea Chadema wanaambiwa wakae kimya watakigawa chama!!

Amewapiga mkwara aliowaita machawa wa Mbowe kuwa wasijaribu kuendelea kumchokoza ataanika kila kitu kuhusu Mbowe.
Dogo hii project yenu ya kutengeneza migogoro cdm haiwezi kufanikiwa
Tafuta njia nyingine

Hivi mama yenu hela za pikipiki 18,000 amezitoa wapi?
 
Ehheeeee!!!!
Ukweli mchungu. Ukiwauliza watu kuhusu hili, majibu yanakuwa yana fanana fanana, Mbowe ni kibaka kibaka hivi, mwenye tabia za ku bully bully.

Waulizeni ma borntown na wapiga dili za mjini wa miaka ya 80-90++ watakuambia hayo hayo.
 
Heche kaenguliwa na mbowe ni CCM?
 
Ukweli mchungu. Ukiwauliza watu kuhusu hili, majibu yanakuwa yana fanana fanana, Mbowe ni kibaka kibaka hivi, mwenye tabia za ku bully bully.

Waulizeni ma borntown na wapiga dili za mjini wa miaka ya 80-90++ watakuambia hayo hayo.
Nakwambia hiv, kiukwel wenye akil tuliokua tunamuheshimu Mbowe kwa kuijemga chadema na kuibua vipaji vya vijana, sasa hiv heshima inashuka kila siku. Kwakifupi tumeshamshtukia, sema ndio vile tena mkono uliokulea, shart usiukate ila tutausafisha kwa nguvu atake asitake.. mbowe kageuka agent typically
 
View attachment 3013685

Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini.

Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul.

Ashangaa kwa nini kila siku watu wakitaka kusema uovu unaoendelea Chadema wanaambiwa wakae kimya watakigawa chama!!

Amewapiga mkwara aliowaita machawa wa Mbowe kuwa wasijaribu kuendelea kumchokoza ataanika kila kitu kuhusu Mbowe.
Live Mbowe alone brother, kama vipi anzisha chama chako utuonyeshe njia, Wanaume wanapambana wewe unabwabwaja kama mwanamke wa bar..
 
Back
Top Bottom