Kada maarufu wa CHADEMA amuita Mbowe kibaka mbele ya kadamnasi

Kada maarufu wa CHADEMA amuita Mbowe kibaka mbele ya kadamnasi

Tz pagumu sana yote hzo jamaa kapewa lak moja kuja kumchafua mwenyekt sasa useme kbaka sjui mwz ss ndy tumtaka coz kpnd anaangaika na chama nyie na wazz wenu mlikuwa ccm yaan mtu ukiona vyaelea ujue kiundwa na atuwez kuwaachia wapta njia azna ya chama cha ukomboz Tz

Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini.

Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul.

Ashangaa kwa nini kila siku watu wakitaka kusema uovu unaoendelea Chadema wanaambiwa wakae kimya watakigawa chama!!

Amewapiga mkwara aliowaita machawa wa Mbowe kuwa wasijaribu kuendelea kumchokoza ataanika kila kitu kuhusu Mbowe.
 
Lisu anatushughulikia mno CCM.Tuanze kujibu baadhi ya hoja zake ambazo siyo za kweli.
 
Back
Top Bottom