CCM mnajiokotea kila aina ya takataka,eti huyo kichaa mlevi mbwa naye anapewa airtime !!View attachment 3013685
Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini.
Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul.
Ashangaa kwa nini kila siku watu wakitaka kusema uovu unaoendelea Chadema wanaambiwa wakae kimya watakigawa chama!!
Amewapiga mkwara aliowaita machawa wa Mbowe kuwa wasijaribu kuendelea kumchokoza ataanika kila kitu kuhusu Mbowe.
Sasa wewe hata sio sonofobia,sema Chadema phobia🫢View attachment 3013685
Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini.
Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul.
Ashangaa kwa nini kila siku watu wakitaka kusema uovu unaoendelea Chadema wanaambiwa wakae kimya watakigawa chama!!
Amewapiga mkwara aliowaita machawa wa Mbowe kuwa wasijaribu kuendelea kumchokoza ataanika kila kitu kuhusu Mbowe.
Wapo misikitini hao, uwezo wa kujibu hoja waupate wapi.Jibuni Hoja za Lissu huko Singida msijifiche kwenye UJINGA
Kama mambo ndiyo haya Chama kinakwenda kupotea