GE2025 Kada wa CCM apinga uteuzi wa Samia kugombea urais (Barua kwa msajili wa vyama)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Anapoteza muda tu
 
 
Mwaka huu mtaruka na kukanyagana sana. Samia is there to stay. Mtetezi w wanyonge
 
Na bado
 
Kesi itapelekwa mbele Mpaka uchaguzi uishe
 
Wana CCM wengi iwezekanavyo wanapaswa kuandika barua kama hizi.
 
Kama chama kilikiuka katiba hvyo wenye dhamana kwa maana viongozi wa chama hawafai kuwa viongozi kifupi uongozi unatakiwa kujiuzulu, wachaguliwe viongozi wengine ndio mchakato wa udiwani, ubunge na urais uanze upya kama msajili au kule mahakamani wakiwa serious na hii issue.
 
Kuna
KARMA ni jibu sahihi. Msajili amezuia ruuku ya CHADEMA kwa kudai teuzi zilizofanywa na m/kiti wa chama, hazikufuata katiba.

Sasa kazi hiyo amepewa na watz tunataka kuona uwadilifu wake au na yeye yupo apo ofisini kwa kazi maalum
Kuna uadilifu hapo huyo ni msajili wa kudeal na chadema wala sio msajili wa vyama vya siasa. Ile ofisi ilianzishwa kwa ajili ya chadema. Tangu ofisi ya msajili ianzishwe umeshawahi sikia msajili anaizungumzia ccm, hata tu kuikumbusha jambo fulani kuhusiana miongozo ya vyama vya siasa. Lakini ya chadema hata mimi kidampa wa nyarugusu leo nikimwandikia kuwa chadema wamenikashfu kesho ataitisha press conference kutoa onyo, hasubiri ushahidi kujua ni kweli au uongo.
 
Jamaa yuko sahihi sema ngoja machawa waje uone watakavyompinga
Asilimia kubwa ya wanachama wa CCM ni machawa na mbu×3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…