GE2025 Kada wa CCM apinga uteuzi wa Samia kugombea urais (Barua kwa msajili wa vyama)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Barua feki haina kadi namba ya mwanachama
 
Yule wakuitwa sista atachukua na likizo kukimbia🤣🤣
 
Nitasoma baadae ngoja nimtafute Polepole kwanza
 
Sasa bwana Mutungi Anaweza kuifungia ccm kama alichofanya kwa chadema?

Huu ni Mchezo wa Tom & Jerry 🏃

Wacha tusubiri Nondo za Bwana Pole pole Leo Anapinga kichwa.
 
Hii ndiyo hatua ambayo wanachama wa CCM walipaswa kuchukua mapema mara walipoona katiba, kanuni na utaratibu wa uteuzi wa mgombea u Rais ndani ya chama chao umevunjwa na kukiukwa...!

Msajili wa vyama vya siasa hana option ila kuchukua hatua kwa kumtaka katibu mkuu CCM kutoa maelezo kujibu hoja hizi haraka kabla ya tarehe 29/8/2025 kama alivyofanya kwa malalamiko yanayofanana na haya ya mwanachma wa ACT Wazalendo kulalamikia utaratibu, kanuni na katiba ya chama kukiukwa kumteua Luhaga Mpina kuwa mgombea Uraia kwa tiketi ya chama hicho...

Aidha malalamiko haya yanafanana na ya mwanachama wa CHADEMA Lembros Mchome aliyekilalamikia chama kwa kukiuka taratibu, kanuni na katiba ya chama katika uteuzi wa sekretariati ya chama (Katibu mkuu, manaibu wake Tanganyika na Zanzibar) na baadhi ya wajumbe wa kamati kuu uliofanywa na Mwenyekiti mpya Tundu Lissu tarehe 21/1/2025...

Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Mtungi, haraka haraka alichukua hatua na kutangaza kutowatambua viongozi hao na kuagiza mchakato wa kuwateua kurudiwa upya kwa kutumia vikao halali vinavyokidhi hitaji la katiba...

Hakuishia hapo, Msajili wa vyama vya siasa alizuia ruzuku ya chama kwa kigezo kuwa chama hakina uongozi wa kusimamia matumizi ya fedha hiyo..!

Tunataka tuone kwenye malalamiko haya mawili (ACT WAZALENDO & CCM) ambayo ni mabaya zaidi, makosa yao ni ya wazi zaidi kuliko ya CHADEMA kwa mbali atafanya nini. Atatenda haki au tutajionea na kuthibitisha unafiki na matumizi mabaya ya mamlaka ya ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ya kuadhibu wengine na kuwaacha wengine kwa makosa yanayofanana..??

Tego hilo....
 
japo wanapoteza muda , ila waendelee kuwasha mashambulizi it iz vere nice
 
Kwa mujibu wa hiyo barua na vifungu alivyovitaja muandishi ni kweli kabisa kuna uvunjifu mkubwa wa katiba ya nchi pamoja na katiba ya ccm , haki itendeke katika hili
 
Napita kitahilatahila🚶‍➡️🚶‍➡️🚶‍➡️🚶‍➡️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…