GE2025 Kada wa CCM apinga uteuzi wa Samia kugombea urais (Barua kwa msajili wa vyama)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ni swala la kucheka na kioo chake! Ukweli ni kwamba hakuna mtu anyeijua sura yake, ukitaka kuamini endapo itatokea akasimamishwa mtu ambaye ni wew lazima utajiuliza sura hii nilisha wahi kuiyona wapi? Kumbe ni sura yako mwenyewe. Unajua historia ya kitabu hiki kimebeba ujumbe wa kihistoria hebu tupate muda wa kukikosoma, kuchambua na kuelewa ujumbe!
Wanabodi? Kumbukeni kwamba ulimi unavumilia harafu ya mdomo kwa kusahaulishwa na utamu wa chakula,, kila mtu anayo maoni yake na mapokeo, ikiwa kama ni haki kikatiba basi pia ni haki yake kikatiba,, Basi October mimi Nina tiki mitano tenaaaaaa.
 
Nyumbu,hakutaja namba ya kadi yake.Nyumbu wanagangaika sana.
 
Nyumbu hakutaja namba ya kadi.Barua feki

Nyumbu,hakuandika namba ya kadi ya chama.
ndio maana nasema huyo muungwana ni lofa,

kwasababu ameshaonekana ndani ya chadema g55 na hata kwenye hii chadema masalia,

Lakini pia mara nyingi zaidi ameonekana CHAUMMA, sasa unashindwa kuelewa anafuata ubwabwa au nini kwenye kila chama cha siasa humu nchini?

CCM haiwezi kua na mwanachama anaetangatanga kama huyo.
huenda ni mshabiki wa CCM ila sio mwanachama πŸ’
 
πŸ™‹βœοΈπŸŽ―πŸ‘πŸ‘πŸ‘ŠπŸ€πŸ™πŸ’πŸŽ–οΈπŸ›‘οΈ
 
hili litakua janachama lofa πŸ’
Mkuu Tlaatlaah kuna kipindi ulidai wewe ni msomi. Kama ndivyo na ni kweli naamini unafahamu kuwa kanuni ya msingi ya kupinga hoja kisomi ni kwa hoja au utafiti.

Sasa wewe Tlaatlaah Inakuwaje umtukane gstar kuwa lofa!!! Huoni wewe ndiye lofa kiongozi kama sio mwandamizi???
hili litakua janachama lofa πŸ’
 
Gentleman,
hili jamaa ni lofa,
kwanza nadhani sio mwanachama wa CCM ila ni mpenz au shabiki tu wa CCM na ndio maana hajaambatanisha account namba ya kadi yake kitu ambacho ni muhimu zaidi kupaswa kuwepo kwenye hiyo barua yake nonsense.
.
Lakini pia huenda huyo muungwana ni lofa kwasababu alionekana mara zote akiwa chadema ile ya g55, lakini ghafla pia akawa kwenye hii chadema masalia, huenda wamegundua hayuko timamu wakamnyima kadi na fursa alizokua anamendea huko.

Lakini gentleman,
huyu muungwana mara nyingi zaidi anaonekana yupo CHAUMMA, na haijulikani anatafuta nini huko labda ubwabwa au vinginevyo.

So,
kwa kifupi huyo ni kifuata upepo tu, na ukitaka kujiridhisha kidogo fuatilia kwa karibu na utagundua kwamba the gentleman has some mental health issues.
CCM haiwezi kua na mwanachama anaetangatanga kama huyo πŸ’
 
Barua haina namba ya kadi ya chama,namba ya mwanachama.Nyumbu tumieni akili,mambo mengi mnakosea,nyuzi zenu mnatufanya tulionuna,tucheke.
 
Hapa msajili atapita kama anaaga maiti.
 
Kosa kubwa la kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 38 amekwepesha makusudi.

Null and Void
 
Huu ndio ukweli,ndio maana nikamuita nyumbu,nyumbu hawajielewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…