GE2025 Kada wa CCM apinga uteuzi wa Samia kugombea urais (Barua kwa msajili wa vyama)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Napenda kuona haya majimambo Kila siku yakitokea...niendelee kujifunza jambo hapaπŸ˜„. Wengine waendelee kuleta pingamizi jamani...Hadi yule aliyejibatiza jina la chura kiziwi asikie kwa lazimaπŸ˜€
 
Umeandika points ndefuuu na nzuri sana, ila je umeandika ukiwa umepakatwa au ukiwa unakunwa ?
 
Aungane na Mzee Malisa kwenye shauri la kikatiba lililofunguliwa. Vinginevyo, hakuna mtu atakayejishughulisha na suala ambalo tayari liko mahakamani.
 
Mwana chama ana hoja asikilizwe
 
Hata Mwalimu alipinga uteuzi wa namna hii
 

Attachments

  • VID-20250821-WA0011.mp4
    10.3 MB
Samia out.
 
Mwaka huu mtaruka na kukanyagana sana. Samia is there to stay. Mtetezi w wanyonge
Wakumbuke maamuzi yeyote yanayofanywa na mkutano mkuu ni maamuzi ya juu na ya mwisho. Akae akijua halmashauri kuu na kamati kuu inaweza ikaleta kitu kikapingwa na mkutano mkuu lakini hawana mamlaka kupinga jambo lililopitishwa na mkutano mkuu. Mama Samia kapitishwa na mkutano mkuu akae akilijua hili
 
Hakuna kitu kipya CCM itafanya...
 
Mtungi na Ramadhani Kailima ni Wana CCM kindaki ndani
 
Soon unaweza kusikia mwamba haonekani alipo,hata week ndefu πŸ˜”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…