Kada ya Engineering, ualimu Tamisemi


Bilashaka lengo la magufuri anataka hawa engineers wakafundishe shule za technical kama ifunda,moshi tech,iyunga n,k
 
Sio kila kitu mnapinga, Technician wanaohitajika hapa ni kwa ajili ya kwenda kufundisha vyuo vya Maendeleo ya wananchi FDC bila shaka
Sina hakika kama viko chini ya tamisemi,kama viko chini yw tamisemi basi sawa
Ila ajira ni kwa ajili shule za msingi na sekondari hivyo hapo wanapelekwa shule ufundi kufundisha masomo ya ufundi
 

Bila shaka wewe ndiye mwenye kichwa kigumu zaidi/kilaza!
Ungesoma vyema nilichoandika ukielewe vizuri! Karudie uelewe, au pengine uwezo wako ni mdogo ndio maana umeshindwa kuelewa, na hiyo pengine inaweza kuwa sababu ya wewe kujiita engineer huku pengine ukitafuta ajira na kukosa kwa sababu ya kutokuwa na uwezo kwenye hiyo field!
Kiufupi nimegundua wewe ni engineer uchwara!!
 

Wanaofundisha vyuoni siyo waalimu!
Hao ni wakufunzi!
Unatakiwa kutambua waalimu na wakufunzi wanatofautiana!
 
Duh CCM wameharibu nchi, unajua kuna mambo ukiyatafakari unaweza ukadhani labda sio Tanzania hii, Yani Engeneer akashike chaki, Hii ni haki kweli?
 
Duh CCM wameharibu nchi, unajua kuna mambo ukiyatafakari unaweza ukadhani labda sio Tanzania hii, Yani Engeneer akashike chaki, Hii ni haki kweli?
Pia masomo ambayo unapaswa kufundisha ni ya shule za kiufund au mathematics na physics??
 
Sasa kwann serikali isitoe ajira ya mainjinia wakati wapo mtaani hawana kazi?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Anaye fundisha chuo sio mwalimu ni instructor.

Acha upotoshaji.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Yaani wametudharirisha vibaya mno serikali hii yaani sisi wahandis tukawe walimu
 
Sasa kwann serikali isitoe ajira ya mainjinia wakati wapo mtaani hawana kazi?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Sijui kwanini. Labda wana sababu.

Nilichojaribu kuonesha ni namna engineer au mwana taaluma yoyote anavyoweza kutumia fursa inapojitokeza. Yupo mwenye degree ya sheria aliomba utendaji wa kata (WEO) then baada ya mwaka akaomba kuhamia ofisi ya Sheria ya H/shauri.
 
Wajuzi tupeane elimu hapa, kwenye nafas hzi za ualimu za tamisemi kwenye masomo yakufundishia tuchague masomo ya fani .? Au masomo haya yakufundishia sekondari mfano physics na hesabu?? Naonba kuelewa katika hili wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…