2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,069
Sio nyie mlijipiga hadi ndole kukataa kuingiza kipengele cha dini ya mtu kwenye sensa...why mlikataa na leo mnakuja na data za uchochoroni...puuuuuf
Mkuu Kristians wanafanya mambo kisayansi.
Tatizo ni nyinyi wenyewe; Mna mahitaji mengi sana kwenye imani yenu yasiyotekelezeka. Na hii inaifanya imani yenu kuwa na mapungufu makubwa sana tena si kidogo. .Ndio maana hata sasa, uongozi wenu huko hamuukubali. Ila mumekuwa mkiuvumilia tu.
.
Mtu akiibuka na kapewa Hela ya mafuta huko arabuni akija na mihemuko yake ya kuleta vurugu mnasadiki moja kwa moja. Na kwa bahati mbaya mna watu wengi wenye uwezo wa kuwafanya mkajisikia wanyonge hata kama ni matajiri kuliko jamii nyingine. Wengi mnapewa mafundisho ya kuwasononesha na kuwafanya mjione wanyonge. Na mnapenda kuyasikiliza, kwakuwa yako mioyoni mwenu.Nyinyi ni inferior kwakuwa mnajikubali hivyo.Na hamwezi ondoa hilo kwenye roho zenu.
Zamani watu wengi walikuwa wanaamini ni kwa vile hamjasoma, mkaelimika. lakini siku hizi imegundulika hata mkisoma haisaidii. Hamwezi kuwa watu chanya kifikra.Kwani nyuma yenu mnakundi kubwa lisilo na Elimu.
Mfano; Kule Arabuni Wanachinjana kwa jina la dini kila kukicha: Lakini hamuwachi kusingizia Ni marekani na Mwisrael waliosababisha. Lakini hata ukiwaondoa hao: Haiwezi ondoa huu utamaduni wa mwenye nguvu ndiye msema kweli. Haijasaidia Somalia wala nyinyi hamjaonesha hisia za kuwasaidia wasomali miaka nenda miaka rudi. watakaoweza kuwasaidia wanatakiwa watoke kwenye dini nyingine.Na sio ya kwenu.
Hata hicho kipengele kwenye sensa kilionekana kitaenda kupandikiza mbegu ya chuki za kidini zilizokuwa zikishika kasi nchini: nyinyi hilo hamlioni. Na hata mkiliona ndilo mnalohitaji. Mnashangilia mkiona nchi inapelekwa kwenye Vurugu. KWa imani kuwa Mtashika dola.Jamhuri ya CAR waliamini hivyo hivyo. Tena washukuru wazungu kwenda kuokoa jahazi. Manake Iran ilipeleka pua kiupendeleo tu.
Swali la msingi
Je mnataka muonekane wengi ili mjisikie vizuri na muanze kunyanyasa wachache kwa kutumia wingi wenu?: inaonyesha hamjisikii vizuri hata sasa. Sijui hata kama umenielewa au unachagua cha kunielewa?
Azimio la Arusha: binadamu wote ni sawa na afrika ni moja. Tuache ubaguzi