kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Nchi hii haina dini bali watu wake wana dini. Hivi endapo katiba inaruhusu uhuru wa kuabudu, tatizo ni nini?
Kwa taarifa hata Ukristu ni mfumo kamili wa maisha. Basi kadhi ikiingizwa, basi mahakama za kikristo na jadi ziingie.
ANZISHENI MAMBO YENU KWENYE IMANI ZANU BILA KUVUNJA HAKI ZA BINADAMU NA KATIBA.
Haya ni maneno ya yule kafiri Nyerere aliyetugawa hapa nchini.
Akawaweka Wakatoloki Juu ya dini zingine zote.
Aka promote watu wa imani yake ktk ngazi Nyeti serikalini.
Akajaza Viongozi wa kigalatia ktk Wizara Nyeti sana Serikalini.
Utafkiri hii nchi ilikuwa mali ya mama yake.
Leo hii athari za mgawanyo wake zimesababisha misalaba tubebe sisi.
Yule alikuwa mdini mkubwa. Na mdhulumati mwizi wa fadhila.
Alisema Serikali Haina dini wakati yeye mwenyewe alituweke Jina la MUNGU ktk wimbo wetu wa taifa!
Jaribuni kufikiri ndugu wagalatia. Msiwe kama Bendera kufuata upepo.
Nyerere hata Akijamba nyie mnapiga makofi.
Ndio maana aliposema "uchumi mnao lkn mmeukali" mkainuka na kupiga makofi. Kumbe akimaanisha yale tunayoyaona leo Makanisani.
Na kwa taarifa yako MAHKAMA ZA KADHI ZIMEJAA DUNIANI lkn HAKUNA Mahkama hatta moja DUNIANI inaitwa MAHAKAMA YA KIKRISTO. na kama ipo NITAJIE JAPO MOJA TU.