Kadi ya kupanda Mwendokasi ni elf tano (5000)

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Sidhani kama hii ni sawa jamani

Kwani haiwezekani kutoa Kadi bure? Au hata iwe elf moja kama za pantoni?

Kweli ni busara kuuza Kadi Kwa elf tano?

Hiyo Kadi ina mambo gani ya ziada?

Wahusika waangalie hili jambo Kwa hicho la Imani
 
Hivi imeshindikana vipi kutumia N-Card kupanda mwendokasi. Hawaoni kama kunakuwa na utititri wa kadi usio wa lazima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…