mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Kweli kabisaNa ujinga wao watazifungia hizo routes.
Mitsnzania haiwezi kuendesha kitu.
Wataiua na huzo mashine nakwambia hazikai, wizi mtupu.
Bila kuwekwa sheria za kuuwana kwa ufisadi na kukatana mikono kwa wizi hatutaweza.
Ova