Kadi za michango zimenizidia!!

Kadi za michango zimenizidia!!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Wakuu habari!
Hivi Na ninyi wenzangu mna hii bahati nzuri au mbaya ya kupokea kadi za harusi,sendoff, birthday, ubatizo,graduations,whatsoever!

Hapa Nina kadi ka sita Na zote michango single sio chini ya 50000,
Sio mbaya ila bado Nina majukumu
Kibao!

Tena sina uhakika ndoa yangu nitafunga lini! Maana hata mchumba Wa kuoa bado sijampata!
Kusema nao watanichangia.

Wakuu kadi hizi zina mashiko kweli
Kuchangia Na hii hali ya bro Magu!

Njia ipi mnatumia kuepuka hizi kadi jamani!
 
Mbona unaongea niliyonayo Mimi !???



Yaani hapa Nataka kufungua chuo na Saiv Na Kad karibia ngapi wanataka michango duh [emoji32][emoji32][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona unaongea niliyonayo Mimi !???



Yaani hapa Nataka kufungua chuo na Saiv Na Kad karibia ngapi wanataka michango duh [emoji32][emoji32][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We are sailing in the same ..
 
Aisee hii kitu sometime inakera sana basi wakati mwingine huwezi kukwepa, mie nnazo sijui kama kumi bado za kuambiwa mdomoni labda mshikaji yuko nje ya mkoa nnaoishi,tafrani tupu
 
Back
Top Bottom