DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Wakuu habari!
Hivi Na ninyi wenzangu mna hii bahati nzuri au mbaya ya kupokea kadi za harusi,sendoff, birthday, ubatizo,graduations,whatsoever!
Hapa Nina kadi ka sita Na zote michango single sio chini ya 50000,
Sio mbaya ila bado Nina majukumu
Kibao!
Tena sina uhakika ndoa yangu nitafunga lini! Maana hata mchumba Wa kuoa bado sijampata!
Kusema nao watanichangia.
Wakuu kadi hizi zina mashiko kweli
Kuchangia Na hii hali ya bro Magu!
Njia ipi mnatumia kuepuka hizi kadi jamani!