jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Mkuu unayoyasema ni kweli kabisa mm sibishiKufanya harusi kwa kutegemea pesa za kuchangiwa na watu ni Upumbavu.
Mi nadhani ifike mahali tuelekeze nguvu zetu kuchangia wanaougua na wanaopatwa na shida mbalimbali lakini siyo kuchangishana mipesa kwa ajili ya harusi.