Kadi za michango zimenizidia!!

Kadi za michango zimenizidia!!

Kufanya harusi kwa kutegemea pesa za kuchangiwa na watu ni Upumbavu.

Mi nadhani ifike mahali tuelekeze nguvu zetu kuchangia wanaougua na wanaopatwa na shida mbalimbali lakini siyo kuchangishana mipesa kwa ajili ya harusi.
Mkuu unayoyasema ni kweli kabisa mm sibishi
 
Mimi mchango wa sherehe sichangi kabisa,mchango ntakaotoa ni wa mgonjwa au msiba tuu,inakuwaje unataka kufanya sherehe kwa bajeti ya mifuko ya watu?siku nikiwa na sherehe ntafanya kwa bajet Yangu over.
 
Wakuu habari!
Hivi Na ninyi wenzangu mna hii bahati nzuri au mbaya ya kupokea kadi za harusi,sendoff, birthday, ubatizo,graduations,whatsoever!

Hapa Nina kadi ka sita Na zote michango single sio chini ya 50000,
Sio mbaya ila bado Nina majukumu
Kibao!

Tena sina uhakika ndoa yangu nitafunga lini! Maana hata mchumba Wa kuoa bado sijampata!
Kusema nao watanichangia.

Wakuu kadi hizi zina mashiko kweli
Kuchangia Na hii hali ya bro Magu!

Njia ipi mnatumia kuepuka hizi kadi jamani!
Pole DJ.

Waambie tu ukweli kuwa mpunga hautoshi!!
 
Kukomoana kwa viwango vikubwa Na kushtuana ndo sitaki
La kuwekeana viwango ndo linalokera zaidi, haiwezekani we mwenyewe upange bajeti ya kufanya sherehe ya mamilioni kwa kutegemea watu wakuchangie, watu ambao wana majukumu yao binafsi, kusomesha, kuuguza nk sio haki kabisa.

Binafsi, sitakuja nimchangie yeyote yule, labda nimkopeshe. Binafsi Kwanza si mpenzi wa sherehe kabisa, hivyo haitaniathiri, kusaidiana ni ktk majanga sio sherehe, ufanisi wa sherehe ni kujipanga kusherehesha sio kuchangiwa.
 
Back
Top Bottom