Hizo ndo habari za kijamii kama unaweza kuchanga changa kama huwezi kausha
Halafu baada ya mwezi mmoja ndoa inavunjika.Harusi za Tanzania za kukurupuka sana......
Harus watu mia mbili doh??
I
Umeongea jambo la msingi bossDawa ni kutojenga mazoea ya kuhudhuria sherehe za wengine, na mwenyewe kutofanya sherehe yoyote au ukifanya usiwachangishe watu, unajiandaa kila kitu unawaalika kula na kunywa tu, hawatakusumbua tena.
Noted!Kufanya harusi kwa kutegemea pesa za kuchangiwa na watu ni Upumbavu.
Mi nadhani ifike mahali tuelekeze nguvu zetu kuchangia wanaougua na wanaopatwa na shida mbalimbali lakini siyo kuchangishana mipesa kwa ajili ya harusi.
Ndio hivyo na lawama juuWakati wanakuona uko fresh!
Hawaamini!mwisho Wa siku
Kununiana tu!
Kukomoana kwa viwango vikubwa Na kushtuana ndo sitakiInakera sana ila hana budi kuchangia, siku yako ikifika upate msaada, watu sasa hivi wanaangalia sana ujue, kama hushirikiani na watu kwa chochote kile siku nawe ukipata hata msiba unasusiwa
Nitakupa kadi besti usijali[emoji23][emoji23][emoji23]Yenu lini[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Wachangie tu wahalalisheKuna mmoja naishi nae nyumba moja apartment tofauti ni mwanamke amenipa kadi ya harusi halafu kila siku jamaa yake anakuja kumgegeda!,
Naona uvivu nachangia haramu tu!
Sina ujanja nitauza hata kakiwanja[emoji6]Kwahiyo hata yangu hautachanga kisa vyima vimekaza?[emoji15][emoji15]
Wengine imekuwa kama biashara kabisaMichango ya harusi ni kutiana lawama tu
Nitakupa kadi besti usijali[emoji23][emoji23][emoji23]
Kho kho khoYenu lini[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Kwahiyo hata yangu hautachanga kisa vyima vimekaza?[emoji15][emoji15]