Kadi za michango zimenizidia!!

Kadi za michango zimenizidia!!

Dawa ni kutojenga mazoea ya kuhudhuria sherehe za wengine, na mwenyewe kutofanya sherehe yoyote au ukifanya usiwachangishe watu, unajiandaa kila kitu unawaalika kula na kunywa tu, hawatakusumbua tena.
Kumbe!
 
Umeongea jambo la msingi boss
 
Kufanya harusi kwa kutegemea pesa za kuchangiwa na watu ni Upumbavu.

Mi nadhani ifike mahali tuelekeze nguvu zetu kuchangia wanaougua na wanaopatwa na shida mbalimbali lakini siyo kuchangishana mipesa kwa ajili ya harusi.
Noted!
 
Inakera sana ila hana budi kuchangia, siku yako ikifika upate msaada, watu sasa hivi wanaangalia sana ujue, kama hushirikiani na watu kwa chochote kile siku nawe ukipata hata msiba unasusiwa
 
Kukomoana kwa viwango vikubwa Na kushtuana ndo sitaki
 
Ila mazoea naona yamezidi sana miaka hii. Ukikutana na mtu mara 2 ukasalimiana naye tu kesho analeta na kadi. Mwaka huu kama sikosei 500k wamemaliza. Come 2017 naanza maisha mapya huu ujinga sitaki.
 
Kweli mkuu
 
Me naona hakuna shida changa tu zote unavyotoa na Mungu anakubariki tena utoe kwa roho moja sio kulalamika kingine na we ujue utakuja kuoa lazima watakuchangia tu ukijitenga na wewe siku ya siku utatengwa hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom