jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Mkuu unayoyasema ni kweli kabisa mm sibishiKufanya harusi kwa kutegemea pesa za kuchangiwa na watu ni Upumbavu.
Mi nadhani ifike mahali tuelekeze nguvu zetu kuchangia wanaougua na wanaopatwa na shida mbalimbali lakini siyo kuchangishana mipesa kwa ajili ya harusi.
Acha kabisaWengine imekuwa kama biashara kabisa
Unakohoa nini sasa?[emoji23][emoji23]Kho kho kho
Hata sijui jamaan [emoji30][emoji30] nahisi ni kuchapia kwa linamoUnakohoa nini sasa?[emoji23][emoji23]
Pole DJ.Wakuu habari!
Hivi Na ninyi wenzangu mna hii bahati nzuri au mbaya ya kupokea kadi za harusi,sendoff, birthday, ubatizo,graduations,whatsoever!
Hapa Nina kadi ka sita Na zote michango single sio chini ya 50000,
Sio mbaya ila bado Nina majukumu
Kibao!
Tena sina uhakika ndoa yangu nitafunga lini! Maana hata mchumba Wa kuoa bado sijampata!
Kusema nao watanichangia.
Wakuu kadi hizi zina mashiko kweli
Kuchangia Na hii hali ya bro Magu!
Njia ipi mnatumia kuepuka hizi kadi jamani!
La kuwekeana viwango ndo linalokera zaidi, haiwezekani we mwenyewe upange bajeti ya kufanya sherehe ya mamilioni kwa kutegemea watu wakuchangie, watu ambao wana majukumu yao binafsi, kusomesha, kuuguza nk sio haki kabisa.Kukomoana kwa viwango vikubwa Na kushtuana ndo sitaki