Tetesi: Kadinal Pengo Kuzungumza na wanahabari Jumamosi

Tetesi: Kadinal Pengo Kuzungumza na wanahabari Jumamosi

Status
Not open for further replies.

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,903
Kadinal Pengo atazungumza na wanahabari Jumamosi kupiga marufuku wakatoliki kote nchini kujihusisha na Ukuta

MYTAKE:
Kama tetesi hizi zinaukweli ndio utajua jinsi gani kuna viongozi wa dini wanajiusisha na siasa tena chama Tawala... Tusubiri muda utaongea
 
Bora mwanya kuliko pengo badala amshauri muumini wke ili ajisahishe n kukurupuka, kuropoka kila kukicha...viongozi wote wa dini ni manafiki wa kiwango cha juu anajitoa ufahamu kipindi hiki wakti wa utawala wa mkapa alikua anamkosoa sana.utawala huu amekaa kimya
 
Kadinal Pengo akazungumza na wanahabari Jumamosi kupiga marufuku wakatoliki kote nchini kujihusisha na Ukuta

MYTAKE:
Kama tetesi hizi zinaukweli ndio utajua jinsi gani kuna viongozi wa dini wanajiusisha na siasa tena chama Tawala... Tusubiri mdaa utaongea
Kwa nini mnalia lia kabla?
 
Kwa hiyo Gwajima sio kiongozi wa dini.. ? Au kwa sababu sio wa upande wa chama tawala..?
Gwajima akiongea sawa na mnamshabikia kabisa lakini ikitokea Pengo ameongea basi anatumika na wanasiasa..?
Hizi double standard zitaisha lini ..?
 
Kadinal Pengo akazungumza na wanahabari Jumamosi kupiga marufuku wakatoliki kote nchini kujihusisha na Ukuta

MYTAKE:
Kama tetesi hizi zinaukweli ndio utajua jinsi gani kuna viongozi wa dini wanajiusisha na siasa tena chama Tawala... Tusubiri mdaa utaongea

Mkuu, hata kama ni tetesi, Pengo hawezi kufanya hivyo.
 
Sidhani kama Pengo ni mtu wa aina hiyo. Najua ni mtu mwenye uelewa mkubwa na kamwe haongeki. Iwapo atathubutu kuwakataza wakatoliki kama tetesi inavyosomeka, atakuwa amejivunjia heshima sana na kamwe amri yake haipaswi kutekelezeka. Isitoshe, atakuwa ameliweka Kanisa Katoliki rehani. Tafadhali Baba Kardinali usimalize maisha yako ya utumishi wa Mungu duniani vibaya. Ni bora ukae kimya Baba Askofu.
 
hahaha....haihitaji kumhonga agent...agent yuko kazini
Sidhani kama Pengo ni mtu wa aina hiyo. Najua ni mtu mwenye uelewa mkubwa na kamwe haongeki. Iwapo atathubutu kuwakataza wakatoliki kama tetesi inavyosomeka, atakuwa amejivunjia heshima sana na kamwe amri yake haipaswi kutekelezeka. Isitoshe, atakuwa ameliweka Kanisa Katoliki rehani. Tafadhali Baba Kardinali usimalize maisha yako ya utumishi wa Mungu duniani vibaya. Ni bora ukae kimya Baba Askofu.
 
Pengo ndo mtu pekee wa kumwambia Magufuli acha waandamane na Magufuli akatii

Pengo na Mkapa.......
Nakwambia pengo akimshauri magu kwamba waache waandamane magu atayasikia......JK pamoja na ukijana wa mjini kuna kipindi kama alijaribu kutunishiana misuli na yeye ila wanaojua waliona jinsi jamaa alivyoomba poo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom