Mkata Mtaa
Senior Member
- Jun 10, 2016
- 136
- 142
Mtoa mada akasema atatoa tamko jumamosi harafu kasema Pengo atakachosema, hii haingii akilini, maana kama kasema atatoa tamko uwezo kujua atakachosema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengo hana mamlaka ya kutoa tamko kwa niaba yetu Wakatoliki, tunaye Rais wetu wa TEC na huyu huwezi kumuweka kwenye payroll.Pengo ndo mtu pekee wa kumwambia Magufuli acha waandamane na Magufuli akatii
Pengo na Mkapa.......
Kila issue na kila wakati lazima kuwe na sides. hata pengo akisema hivyo wapo wengi watamsifu sana, na wengine watamponda. Ulitaka iweje? that's natural.Acheni Double standards Gwajima huwa mnamtetea mbona
Ataongea kama alivyoongelea katiba mpya...Pengo hana mamlaka ya kutoa tamko kwa niaba yetu Wakatoliki, tunaye Rais wetu wa TEC na huyu huwezi kumuweka kwenye payroll.
Pengo ni Askofu wetu mkuu kwenye mambo ya kiroho tu.
Yeye si msemaji wa Wakatoliki wote..Labda wa Dar..Kadinal Pengo atazungumza na wanahabari Jumamosi kupiga marufuku wakatoliki kote nchini kujihusisha na Ukuta
MYTAKE:
Kama tetesi hizi zinaukweli ndio utajua jinsi gani kuna viongozi wa dini wanajiusisha na siasa tena chama Tawala... Tusubiri mdaa utaongea
Sisi ni Watanzania, na kanisa katoliki ndio limetowa Rais kwaara ya ya tatu.Labda universe ya bongo,
kanisa catolic duniani halina ushawishi wowote,zaidi ya kujipa promo tu,
bora hata walokole wanajitahidi kujaribu kucontrol kuliko wao
Nikweli halafu hili jambo la uDini zamani nilikuwa silielewi vzr ila sasa hivi nimetokea kuwa na rafiki ambae hatuna muda mrefu sana tangu tufahamiane yy ni Mkathoric ..Akianza kuongelea issue za huu Utawala nabaki namaswali yasiyo na majibuPengo ndo mtu pekee wa kumwambia Magufuli acha waandamane na Magufuli akatii
Pengo na Mkapa.......
Wewe ni mamluki na siyo Mkatoliki, Mhashamu Cardinal Archbishop Pengo ni Askofu mkuu wa jimbo kuu la Dar es salaam. Huyu ndio Top kiimani kwa maaskofu wote wa kanisa katoliki Tanzania.Yeye si msemaji wa Wakatoliki wote..Labda wa Dar..
Your take,baki nayo..Kadinal Pengo atazungumza na wanahabari Jumamosi kupiga marufuku wakatoliki kote nchini kujihusisha na Ukuta
MYTAKE:
Kama tetesi hizi zinaukweli ndio utajua jinsi gani kuna viongozi wa dini wanajiusisha na siasa tena chama Tawala... Tusubiri mdaa utaongea
Hapa kiongozi wa dini ambaye huwa tu namwaminia hana UNAFIKI ni :-Bora mwanya kuliko pengo badala amshauri muumini wke ili ajisahishe n kukurupuka, kuropoka kila kukicha...viongozi wote wa dini ni manafiki wa kiwango cha juu anajitoa ufahamu kipindi hiki wakti wa utawala wa mkapa alikua anamkosoa sana.utawala huu amekaa kimya
Tutajie umri wako kwanzaShetani Chadema apingwe na kila Mwenye mapenzi mema na nchi yetu.
Maadui wa Tanzania kwa sasa
1. Ujinga
2.Umasikini
3. Chadema
Ah ah ah...Sidhani kama Pengo ni mtu wa aina hiyo. Najua ni mtu mwenye uelewa mkubwa na kamwe haongeki. Iwapo atathubutu kuwakataza wakatoliki kama tetesi inavyosomeka, atakuwa amejivunjia heshima sana na kamwe amri yake haipaswi kutekelezeka. Isitoshe, atakuwa ameliweka Kanisa Katoliki rehani. Tafadhali Baba Kardinali usimalize maisha yako ya utumishi wa Mungu duniani vibaya. Ni bora ukae kimya Baba Askofu.
Wacha kujipa sympathy mzee....Catholic church is the most powerfull na strong instituion in the world and it will remain so...Labda universe ya bongo,
kanisa catolic duniani halina ushawishi wowote,zaidi ya kujipa promo tu,
bora hata walokole wanajitahidi kujaribu kucontrol kuliko wao
PoinT kubwa sana hiiiCatholic=universe
Hufai mzee ishia zako mzee
Nilikuwa nakuheshimu sikuheshimu tena
Wewe ni mamluki na siyo Mkatoliki, Mhashamu Cardinal Archbishop Pengo ni Askofu mkuu wa jimbo kuu la Dar es salaam. Huyu ndio Top kiimani kwa maaskofu wote wa kanisa katoliki Tanzania.
Ila hana mamlaka na utoaji matamko hilo ni jukumu la Rais wa TEC.
Kasemaje?Kingunge ndo kasema ukweli