Gut
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 2,852
- 3,404
Achana nae huyo ana Maradhi.Tutajie umri wako kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nae huyo ana Maradhi.Tutajie umri wako kwanza
Ndo mana idadi ya watu wasiokuwa na dini siku hizi nazidi kuongezeka.Kadinal Pengo atazungumza na wanahabari Jumamosi kupiga marufuku wakatoliki kote nchini kujihusisha na Ukuta
MYTAKE:
Kama tetesi hizi zinaukweli ndio utajua jinsi gani kuna viongozi wa dini wanajiusisha na siasa tena chama Tawala... Tusubiri mdaa utaongea
Wewe mbali umeshapaona?wabongo bwana!Bora aendelee kukaa kimya tu kama ni mtu wa kuona mbali.
Kadinal Pengo atazungumza na wanahabari Jumamosi kupiga marufuku wakatoliki kote nchini kujihusisha na Ukuta
MYTAKE:
Kama tetesi hizi zinaukweli ndio utajua jinsi gani kuna viongozi wa dini wanajiusisha na siasa tena chama Tawala... Tusubiri mdaa utaongea
Kadinali ni daraja tu hata padre anaweza kupewa ukadinali,Askofu ndio cheo cha juu kanisaniMkuu achana nae HAJUI lolote
Cardinal ndiyo kiongozi wa wa Catholics ktk nchi husika
Cardinal anakuwa mmoja tu
Pengo ndiyo kioongozi wao
Kazi yake kuisifia CCM tu
hebu tupe basi mfano wa ushawishi hata mmoja tutafakari,Wacha kujipa sympathy mzee....Catholic church is the most powerfull na strong instituion in the world and it will remain so...
Ina mashirika makubwa ya mapadre ambayo yanapenyeza ktk serikali yoyote duniani...
Nenda Saudia Arabia uone kama kuna chuo kikuu chochote cha Kikristu zaidi ya George Town ya Jesuits na kuna parokia kule...
Pengo hayuko kwenye payroll
Pengo ni 'de facto power behind power'
Unamwamini huyu jamaa? Imekula kwako. Katika wazushi wanaoongoza hapa JF huyo ni mmojawapo. Eti anajiita mwanahabari "huru".Cardinal ataongea saa ngapi?
Hapana mkuu, nilikuwa nataka kufahamu ataongea saa ngapi maana muda unazidi kwenda.Unamwamini huyu jamaa? Imekula kwako. Katika wazushi wanaoongoza hapa JF huyo ni mmojawapo. Eti anajiita mwanahabari "huru".
mgabe mbona yuko vizuri tu mkuu?,walioharibu nchi ya zimbabwe ni waingereza,Hawa jamaa nimesoma shule zao..I got this real respect
They're silent like wall mural paintings but they're real de facto power..wanaskuma chess huku waki'sip ghahawa..
Mnakumbuka walichomfanya Mugabe alipoanza kum'harass yule Archbishop wa Harare in late 90s au early 2000s
Our School Rector alituambia Robert Gabriel Mugabe he's digging his own grave with bare hands in darkness while they have lights and shovels to fasten the process for him..Hiyo kauli sikuwahi kuilewa mpaka leo..
but soon jamaa aliufyata..tangu hapo the Tsangirai's na instability ya Zimbwabwe ime'prevail till leo..
Phillipines waliangusha empire ya Ferdinand Marcos; the famous USA despot in bastion Catholic state in Communist suited Asia kipindi hicho..
Atakuwa yipo sahihi,kwani ukatoliki unaruhusu vurugu?Kadinal Pengo atazungumza na wanahabari Jumamosi kupiga marufuku wakatoliki kote nchini kujihusisha na Ukuta
MYTAKE:
Kama tetesi hizi zinaukweli ndio utajua jinsi gani kuna viongozi wa dini wanajiusisha na siasa tena chama Tawala... Tusubiri muda utaongea
takipata wapi mkuu?Ukitaka kumjua Pengo ni nani ndani ya nchi hii soma kitabu 'kanisa katoliki na siasa ya Tanzania'
Nafikiri kanisa lilikizuia kisisambazwe tena baada ya kuona athari take. Kama upo Kilimanjaro tuwasiliane naweza kukuazimatakipata wapi mkuu?
daah,am sorry nimekikosa,but takitafuta,nina jamaa yangu padri tamuuliza kama anacho,nipo mbali sana na maeneo uliyopo...asante kujali pia!Nafikiri kanisa lilikizuia kisisambazwe tena baada ya kuona athari take. Kama upo Kilimanjaro tuwasiliane naweza kukuazima
Usijalidaah,am sorry nimekikosa,but takitafuta,nina jamaa yangu padri tamuuliza kama anacho,nipo mbali sana na maeneo uliyopo...asante kujali pia!
Ulianza vema lkn para ya mwisho imetusaidia kujua hauko vema kibusara.Watu mnapiga mayowe wakati hata mfumo wa kanisa katoliki hamuufahamu.
Haiwezekani askofu au kadinari kufanya press conference !
Labda kama ataongea kwenye ibada.
umesikia lini kanisa linachangia Madawati.
pia mtoa mada kaleta kama tetesi lakini vichwapanzi wanachangia kama Pengo kasema.