mwambadog
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 1,736
- 1,446
Sidhani kama Pengo ni mtu wa aina hiyo. Najua ni mtu mwenye uelewa mkubwa na kamwe haongeki. Iwapo atathubutu kuwakataza wakatoliki kama tetesi inavyosomeka, atakuwa amejivunjia heshima sana na kamwe amri yake haipaswi kutekelezeka. Isitoshe, atakuwa ameliweka Kanisa Katoliki rehani. Tafadhali Baba Kardinali usimalize maisha yako ya utumishi wa Mungu duniani vibaya. Ni bora ukae kimya Baba Askofu.
HAONGEKI??????
KAMA HUJUI KAA KIMYA TU MKUU