Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Ulikuwepo? Uliona?Sio ajabu... kanisa katoliki lilikaa kimya wakati Hitler akiangamiza wayahudi milioni sita na zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwepo? Uliona?Sio ajabu... kanisa katoliki lilikaa kimya wakati Hitler akiangamiza wayahudi milioni sita na zaidi.
Usisahau ya mwembe chai alilipingeza jesh la polisi kwakuwa waislam akatoa mfano wa daud na goliathNi ngumu kwa Mh Kadinali PENGO kutoa matamko yanayolenga ubaguzi.
Kazia na source basi maana yatakuwa majungu sasa hayoKadinal Pengo atazungumza na wanahabari Jumamosi kupiga marufuku wakatoliki kote nchini kujihusisha na Ukuta
MYTAKE:
Kama tetesi hizi zinaukweli ndio utajua jinsi gani kuna viongozi wa dini wanajiusisha na siasa tena chama Tawala... Tusubiri mdaa utaongea
Habar zake huyu za ukweli sanaAchana naye huyu anayejiita Mwanahabari "Huru". Hata sijui huo uhuru wake uko wapi wakati ni kibaraka wa Mbowe.
Sijui atakuwa amekula maharage ya wapi huyu, analewa lewa tuu, anaongea hovyo hovyooo, ewe pengo, ni nani aliyekurogaaa?? (in Gwajima's voice)Kadinal Pengo atazungumza na wanahabari Jumamosi kupiga marufuku wakatoliki kote nchini kujihusisha na Ukuta
MYTAKE:
Kama tetesi hizi zinaukweli ndio utajua jinsi gani kuna viongozi wa dini wanajiusisha na siasa tena chama Tawala... Tusubiri mdaa utaongea
Za ukweli kwako.Habar zake huyu za ukweli sana
Nikweli halafu hili jambo la uDini zamani nilikuwa silielewi vzr ila sasa hivi nimetokea kuwa na rafiki ambae hatuna muda mrefu sana tangu tufahamiane yy ni Mkathoric ..Akianza kuongelea issue za huu Utawala nabaki namaswali yasiyo na majibu
Ukilicgunguza kabisa Catholic utajua hii mission ya imani ni geresha hawa jamaa wana mission nyingine behind the veil ambayo sio kila mtu anaijua ikumbukwe Roman Empire awali ilikua ni pagan na ndio ilioitawala dunia nzima pekee.Sio ajabu... kanisa katoliki lilikaa kimya wakati Hitler akiangamiza wayahudi milioni sita na zaidi.
Huyo Rais wa TEC anashiriki uteuzi wa Papa?Rais wa tec ndio kiongozi wa kanisa katoliki tanzania
Pengo yeye ni askof mkuu wa jimbo la dar tu
Hicho ni cheo tuHuyo Rais wa TEC anashiriki uteuzi wa Papa?
Kwa hiyo Gwajima sio kiongozi wa dini.. ? Au kwa sababu sio wa upande wa chama tawala..?
Gwajima akiongea sawa na mnamshabikia kabisa lakini ikitokea Pengo ameongea basi anatumika na wanasiasa..?
Hizi double standard zitaisha lini ..?
Mkuu achana nae HAJUI loloteHuyo Rais wa TEC anashiriki uteuzi wa Papa?
Watu wengi ni wanafiki tu. Labda gwajima ni bwana waoAcheni Double standards Gwajima huwa mnamtetea mbona