Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Kwa nini mnalia lia kabla?Kadinal Pengo akazungumza na wanahabari Jumamosi kupiga marufuku wakatoliki kote nchini kujihusisha na Ukuta
MYTAKE:
Kama tetesi hizi zinaukweli ndio utajua jinsi gani kuna viongozi wa dini wanajiusisha na siasa tena chama Tawala... Tusubiri mdaa utaongea
Kadinal Pengo akazungumza na wanahabari Jumamosi kupiga marufuku wakatoliki kote nchini kujihusisha na Ukuta
MYTAKE:
Kama tetesi hizi zinaukweli ndio utajua jinsi gani kuna viongozi wa dini wanajiusisha na siasa tena chama Tawala... Tusubiri mdaa utaongea
Sidhani kama Pengo ni mtu wa aina hiyo. Najua ni mtu mwenye uelewa mkubwa na kamwe haongeki. Iwapo atathubutu kuwakataza wakatoliki kama tetesi inavyosomeka, atakuwa amejivunjia heshima sana na kamwe amri yake haipaswi kutekelezeka. Isitoshe, atakuwa ameliweka Kanisa Katoliki rehani. Tafadhali Baba Kardinali usimalize maisha yako ya utumishi wa Mungu duniani vibaya. Ni bora ukae kimya Baba Askofu.
hahaha. ..mkuu...that's the plan...pengo yuko kwenye payroll.....mbona unasahau haraka..katiba issueMkuu, hata kama ni tetesi, Pengo hawezi kufanya hivyo.
Nakwambia pengo akimshauri magu kwamba waache waandamane magu atayasikia......JK pamoja na ukijana wa mjini kuna kipindi kama alijaribu kutunishiana misuli na yeye ila wanaojua waliona jinsi jamaa alivyoomba pooPengo ndo mtu pekee wa kumwambia Magufuli acha waandamane na Magufuli akatii
Pengo na Mkapa.......
hahaha. ..mkuu...that's the plan...pengo yuko kwenye payroll.....mbona unasahau haraka..katiba issue