Tetesi: Kadinal Pengo Kuzungumza na wanahabari Jumamosi

Status
Not open for further replies.

HAONGEKI??????

KAMA HUJUI KAA KIMYA TU MKUU
 

Pengo hawezi kumwamrisha mtu nje ya kanisa. Ya nje akiyaingilia kwa mtindo huo amekwisha thamani yake ingawa Gwajima aliitikisa kidogo
 
Viongozi wengi wa kidini Tanzania wapo kwa maslahi ya kuilinda Serikali ya CCM. Mfano mzuri ni BAKWATA ni chombo cha usalama wa Taifa,
 
Bora aendelee kukaa kimya tu kama ni mtu wa kuona mbali.
Hizo ni habari za uongo sana maana habari yoyote inayohusu maelekezo kwa wakatoliki inatolewa na baraza la maaskofu Tanzania chini ya rais ws wake Mhashamu baba askofu Tarsicius Ngalalekumtwa
Pengo anajielewa hawezi fanya hivyo, Kama ni kuzungumza ataongelea kupatikana kwa suluhu
 
Mk
Mkuu hata wewe hujui.
 
Labda universe ya bongo,
kanisa catolic duniani halina ushawishi wowote,zaidi ya kujipa promo tu,
bora hata walokole wanajitahidi kujaribu kucontrol kuliko wao
Nahisi haujaelewa maana ya aliyepost 'universe'. Ni kwamba ukisema kanisa katoliki unamaanisha hadi wakatoliki waliopo Phillipines au Timor Leste. Sasa iweje Kardinali Pengo azushiwe kutoa tamko la wakatoliki hata ambao hawaujui Ukuta! Mamlaka ya Kardinali Pengo (kama askofu Mkuu) yapo ndani ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam (ambalo mipaka yake inameza Dar, Zanzibar, Pwani na sehemu ya mkoa wa Morogoro). Ungeelewa hayo sidhani kama ungezungumzia mambo ya ushawishi.

Mamlaka yake kama Kardinali bado hayawezi kumfanya atoe tamko la wakatoliki kwani naye ni mjumbe wa Baraza la Maaskofu -TEC na si lazima yeye awe rais wake. Ana faida ya heshima ya ziada kwa kuwa Kardinali kutokana na kuwa mjumbe wa College of Cardianals ambayo pamoja na kazi nyingine atakazopewa na Papa, huwa anashiriki katika uchaguzi wa Papa mpya wakati nafasi ipo wazi, yaani sede vacante.
 

Wachache watakuelewa
 
Hizo ni habari za uongo sana maana habari yoyote inayohusu maelekezo kwa wakatoliki inatolewa na baraza la maaskofu Tanzania chini ya rais ws wake Mhashamu baba askofu Tarsicius Ngalalekumtwa
Teh teh! Jina lake ni kiboko.nimelikubali,maana nalirudia kulitamka linanishinda
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…