Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Leta uthibitisho wa haya unayosema hapa.Wazungu kabla ya ujio wa dini toka Yerusalem waliabudu mizimu kama sisi,
Shetani ni mungu wa kuasi au Giza.
Kabla ya dini wazungu na waafrika hawakujua kama wanamuabudu shetani.
Kwanza elezea 👇
Mungu ni nini?
Shetani ni nini?
Roho ni nini?
Mizimi ni nini?
Una mawazo na fikra finyu sana.Umasikini, magonjwa nk yapo Afrika kwa sababu mwafrika ajaishika dini sawa yupo katikati.
Unataka kusema Mataifa makubwa yaliyo endelea kiuchumi, Yalitumia Dini?
Haya mawazo ya kijinga nani ali
wa aminisha?
Mungu huyo aliyetupa hizo 4H mbona waafrika wanazo hizo Head, Health, Hand and Heart, Na bado ni maskini?Ujinga, upumbavu ni matokeo ya akili kuwa locked umasikini ni matokeo ya akili na Sio mazingira ndo maana Mungu amekupa 4H kama mtaji namba moja yaan HEAD, HEALTH,HAND and HEART ukivitumia hivi huwezi kuwa masikini.
Una hoja za duni sana..!!!