El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
mzungu kivipi..Ni imani potofu ya kuabudu Mzungu badala ya Mwenyezi Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mzungu kivipi..Ni imani potofu ya kuabudu Mzungu badala ya Mwenyezi Mungu.
Uko sahihi! Hata Wazungu nao walishawahi kuishi katika zama za giza wakiabudu "mapepo", hizo dini za kimila zilipungua au kufa baada ya ujio wa Ukristo.Kusema dini ya waafrika ni ipi hio maana kila jamii ilikua na dini Yao.
Kwanza hakuna dini ya waafrika tofautisha tamaduni na dini
Dini ni kuabudu nguvu iliyo kuu
sidhani kama alizamilia kubagua. mapadre wa kizungu ni mojawapo ya wanadamu ambao sio wabaguzi kabisa wa rangi, hata wanapokuja huku huja kwa ajili ya utume. kwa waafrica, kubusiana sio utamaduni wetu kabisa, yawezekana alijua tamaduni hiyo. hata mimi nisingependa mwanaume mwenzangu anibusu kwenye shavu, na ningegoma. na mwafrica angegoma naye angeonekana anambagua mzungu.KADINALI MWEUSI ABAGULIWA WAZI WAZI
View attachment 2773929
Unajua haya mambo ya Wa Afrika kudandia dini za wazungu huwa yananikera Sana Sana, sisi WaAfrika tumepoteza identify yetu kwa kukimbilia mila,desturi na taratibu za wazungu na kukanyaga, kuzikana na kuzidharua Mila na desturi zetu.
Kwani Kabla ya wazungu na waarabu kuja sisi WaAfrika tulikuwa hatuabudu ? Ukweli ni kwamba tulikuwa tunaahudu na Mungu alitusikia, kila hitaji letu tulilipata kwa utaratibu wa ibada zetu.
Ujio wa wazungu na waarabu umeua Mila zetu, ni ujinga kuamini kuwa Sala zao ndio za kweli na Sala zetu ni matambiko😔 ukienda Japan, china etc walikataa ujanja wa wazungu , wamebaki na Mila zao za ibada.
Laana ya kuacha Mila zetu itatugharimu Afrika, mabalaa yote ya Africa ni juu ya laana ya kukataa Mila zetu na kufata Mila za wazungu na waarabu. Ona Sasa hii aibu ya Kadinali mwafrika kubaguliwa waziwazi 😭
Kwani sisi wazungu ili tukumbatiane?KADINALI MWEUSI ABAGULIWA WAZI WAZI
View attachment 2773929
Unajua haya mambo ya Wa Afrika kudandia dini za wazungu huwa yananikera Sana Sana, sisi WaAfrika tumepoteza identify yetu kwa kukimbilia mila,desturi na taratibu za wazungu na kukanyaga, kuzikana na kuzidharua Mila na desturi zetu.
Kwani Kabla ya wazungu na waarabu kuja sisi WaAfrika tulikuwa hatuabudu ? Ukweli ni kwamba tulikuwa tunaahudu na Mungu alitusikia, kila hitaji letu tulilipata kwa utaratibu wa ibada zetu.
Ujio wa wazungu na waarabu umeua Mila zetu, ni ujinga kuamini kuwa Sala zao ndio za kweli na Sala zetu ni matambiko[emoji17] ukienda Japan, china etc walikataa ujanja wa wazungu , wamebaki na Mila zao za ibada.
Laana ya kuacha Mila zetu itatugharimu Afrika, mabalaa yote ya Africa ni juu ya laana ya kukataa Mila zetu na kufata Mila za wazungu na waarabu. Ona Sasa hii aibu ya Kadinali mwafrika kubaguliwa waziwazi [emoji24]
Uislam sio dini ni utamaduni wa kiarabuUkristo siyo dini.
Sawa kwa mtindo wa kujilipua,kuteka lakini bado!Huo labda ni ukristo, Uislam upo kwa ajili ya Ulimwengu mzima: Tafadhali jisomee:
ebu naomba jina la mmoja waoWengi tu
Google wamejaaebu naomba jina la mmoja wao
Wazungu kabla ya ujio wa dini toka Yerusalem waliabudu mizimu kama sisi,Shetani ni nani na Mungu ni nani?
Kwa nini Mungu huyo alijulikana tu na wazungu?
Na shetani huyo akajulikana tu na waafrika?
Mungu huyo Alishindwaje kujidhihirisha kwa watu wote duniani kote kwa wakati mmoja?
Kama ingekuwa ni hivyo, mbona baada ya kumjua Mungu huyo
unayedai ni wa kweli, magonjwa umaskini,udumavu wa fikra na matatizo yapo vilevile barani Afrika?
Shida za waafrika na Umaskini zinatokana na ujinga na Upumbavu wa waafrika.
Mungu gani wa kweli, Aliyeshindwa kujidhihirisha kwa watu wote duniani kwa wakati mmoja?
Nakwambia hivi 👇
Mungu huyo Hayupo.
Na shetani Hayupo.
nimegugu sionGoogle wamejaa
nimegugu sion
✅Wazungu kabla ya ujio wa dini toka Yerusalem waliabudu mizimu kama sisi,
Shetani ni mungu wa kuasi au Giza.
Kabla ya dini wazungu na waafrika hawakujua kama wanamuabudu shetani.
Umasikini, magonjwa nk yapo Afrika kwa sababu mwafrika ajaishika dini sawa yupo katikati.
Ujinga, upumbavu ni matokeo ya akili kuwa locked umasikini ni matokeo ya akili na Sio mazingira.
✅sidhani kama alizamilia kubagua. mapadre wa kizungu ni mojawapo ya wanadamu ambao sio wabaguzi kabisa wa rangi, hata wanapokuja huku huja kwa ajili ya utume. kwa waafrica, kubusiana sio utamaduni wetu kabisa, yawezekana alijua tamaduni hiyo. hata mimi nisingependa mwanaume mwenzangu anibusu kwenye shavu, na ningegoma. na mwafrica angegoma naye angeonekana anambagua mzungu.
Kwani nani kakutaza wewe na wenzako kusalia chini ya mti kama zamani?Zamani tunasalia chini ya miti mbn ilikua frsh tu sio mbaya kama utamaduni itarudishwa
Acha kulalamika, wakati uhuru wa kuabudu umepewa pia. Hakuna mtu amekulazimisha kuamini kwenye dini za wazungu na waarabu. Dini za kijadi zipo mpaka leo, kwanini wewe huendi kuziabudu?KADINALI MWEUSI ABAGULIWA WAZI WAZI
View attachment 2773929
Unajua haya mambo ya Wa Afrika kudandia dini za wazungu huwa yananikera Sana Sana, sisi WaAfrika tumepoteza identify yetu kwa kukimbilia mila,desturi na taratibu za wazungu na kukanyaga, kuzikana na kuzidharua Mila na desturi zetu.
Kwani Kabla ya wazungu na waarabu kuja sisi WaAfrika tulikuwa hatuabudu ? Ukweli ni kwamba tulikuwa tunaahudu na Mungu alitusikia, kila hitaji letu tulilipata kwa utaratibu wa ibada zetu.
Ujio wa wazungu na waarabu umeua Mila zetu, ni ujinga kuamini kuwa Sala zao ndio za kweli na Sala zetu ni matambiko😔 ukienda Japan, china etc walikataa ujanja wa wazungu , wamebaki na Mila zao za ibada.
Laana ya kuacha Mila zetu itatugharimu Afrika, mabalaa yote ya Africa ni juu ya laana ya kukataa Mila zetu na kufata Mila za wazungu na waarabu. Ona Sasa hii aibu ya Kadinali mwafrika kubaguliwa waziwazi 😭
Ukiona hafanyi hivyo ujue ameshafahamu ubaya wake.Kwani nani kakutaza wewe na wenzako kusalia chini ya mti kama zamani?
KADINALI MWEUSI ABAGULIWA WAZI WAZI

Wacha uongo wewe.Wanasalimiana kwa kubusiana???Huo ni uzushi.Wanaume wanabusiana kwenye hizo jamii ulizozitaja?Weka ushahidi kwani utamaduni huo haupo.Umetembea kwenye jamii zote za watu weusi? Nenda Sudan, Eritrea, Ethiopia na Somalia uone wanasalimianaje?
Kuacha Uchawi na kuacha kuabudu mizimu ndio laana?....una balaa wewe.KADINALI MWEUSI ABAGULIWA WAZI WAZI